Results for partly translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

partly

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

his resignation will partly solve the political crisis.

Swahili

kujiuzulu kwake kutaleta ufumbuzi kwa kiasi fulani kwenye mgogoro wa kisiasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

amid a cruise ship outbreak, quarantines and docking are challenging partly due to the large number of people aboard.

Swahili

wakati wa mlipuko wa ugonjwa huu katika meli ya abiria, kuna changamoto ya karantini na kutua kwa sababu ya idadi kubwa ya watu melini.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the worth of foreign investment came into sharp contrast when a land deal with korean investor daewoo came under criticism and partly triggered the current crisis.

Swahili

uhalali wa uwekezaji huu wa kigeni uliingia kwenye sura mpya wakati mkataba wa kuuza ardhi uliokuwa ufanywe na mwekezaji wa kikorea aitwaye daewoo ulipopata upinzani mkubwa na kwa sehemu kubwa kuchochea mgogoro uliopo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for first of all, when ye come together in the church, i hear that there be divisions among you; and i partly believe it.

Swahili

awali ya yote, nasikia kwamba mnapokutana pamoja hutokea mafarakano kati yenu. nami naamini kiasi,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

partly, whilst ye were made a gazingstock both by reproaches and afflictions; and partly, whilst ye became companions of them that were so used.

Swahili

mara nyingine mlitukanwa na kufedheheshwa hadharani; mara nyingine mlikuwa radhi kuungana na wale walioteswa namna hiyohiyo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

people, if you have doubts about the resurrection, you must know that we created you from clay that was turned into a living germ. this was developed into a clot of blood, which was made into a well formed and partly shapeless lump of flesh.

Swahili

enyi watu! ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

forbidden to you (for food) are: al-maytatah (the dead animals - cattle-beast not slaughtered), blood, the flesh of swine, and the meat of that which has been slaughtered as a sacrifice for others than allah, or has been slaughtered for idols, etc., or on which allah's name has not been mentioned while slaughtering, and that which has been killed by strangling, or by a violent blow, or by a headlong fall, or by the goring of horns - and that which has been (partly) eaten by a wild animal - unless you are able to slaughter it (before its death) - and that which is sacrificed (slaughtered) on an-nusub (stone altars).

Swahili

mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya mwenyezi mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,726,925,163 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK