Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
will the military call for postponement for another month?
jeshi litaomba tena liongezewe mwezi mmoja zaidi?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
there are different theories on what pdp benefits from the postponement.
kuna nadharia tofauti za namna ambavyo chama tawala cha pdp kinavyofaidika na kuahirishwa kwa uchaguzi wa rais.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
he notes that the postponement has been met with widespread disappointment and suspicion.
anatanabaisha kuwa kuahirishwa kwa uchaguzi kumegubikwa na hali ya watu kuonesha kukatishwa tamaa pamoja na ni uamuzi wa mashaka tele.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
inec, the responsible authority, replied there was no reason for postponement.
tume ya taifa ya uchaguzi (inec), ambayo ndiyo mamlaka husika, ilitoa taarifa yake kuwa hakukuwa na sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a postponement would provide an opportunity for jonathan to recover some lost grounds.
kuahirishwa kwa uchaguzi kunaweza kutoa mwanya kwa jonathan kurekebisha baadhi ya makosa aliyokwisha kuyafanya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
since the announcement, there has been many speculations as to the real reasons for the postponement.
tangu kutangazwa kuahirishwa kwa uchaguzi, kumekuwa na ufuatiliaji wa karibu wa kutaka kujua hasa sababu za msingi zilizopekea kuahirishwa kwa uchaguzi mkuu wa rais.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
postponement is an increase in disbelief—by which those who disbelieve are led astray.
bila ya shaka kuakhirisha (miezi) ni kuzidi katika kukufuru; kwa hayo hupotezwa walio kufuru.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
according to alexander osondu, the postponement is a violation of nigeria’s constitution:
kwa mujibu wa alexander osondu, kuahirishwa kwa uchaguzi kumekiuka katiba ya naijeria:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this is our list of recommended tweeps to follow during election in nigeria 2011 and their reactions to the election postponement.
hii ni orodha yetu ya watumiaji wa twita unaweza kufuatilia kazi zao wakati wa uchaguzi wa naijeria 2011 na miitikio yao kuhusiana na suala la kuahirishwa uchaguzi huo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
1. @nigeria_law the provision of the constitution is very clear on the postponement of the elections.
1. @nigeria_law vifungu vya sheria vya katiba vipo wazi kabisa kuhusiana na suala la kuahirishwa kwa chaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
if he should be in hardship, then a postponement until ease; while if you give charity it is better for you if you know.
na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and if someone is in hardship, then [let there be] postponement until [a time of] ease.
na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
by the time of writing this, 316 twitter users have retweeted and 16 favourited the following tweet after a call by voice of america hausa to its followers to express their opinion about the postponement:
hadi wakati ninaandika makala haya, watumiaji wa mtandao wa twita walishai-twiti na 16 waliipenda twiti ifuatayo mara baada ya idhaa ya sauti ya america ya hausa kuwaomba watu kutoa maoni yao kuhusiana na kuahirishwa kwa uchaguzi:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the pandemic has led to severe global socioeconomic disruption, the postponement or cancellation of sporting, religious, political and cultural events, and widespread shortages of supplies exacerbated by panic buying.
janga hili kubwa limesababisha machafuko makubwa ya kijamii na kiuchumi, kuahirishwa au kukatishwa kwa matukio ya spoti, ya kidini, kisiasa na kitamaduni, na kuenea kwa upungufu wa bidhaa kutokana na ununuzi kwa hofu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
and if (the debtor) is in straitness, then let there be postponement until (he is in) ease; and that you remit (it) as alms is better for you, if you knew.
na akiwa (mdaiwa) ana shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. na mkiifanya deni kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: