Results for prevalence translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

prevalence

Swahili

prevalence

Last Update: 2017-12-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

due to limited testing, as of march 2020 no countries had reliable data on the prevalence of the virus in their population.

Swahili

kutokana na viwango vya chini ya upimaji, kufikia machi 2020 hakuna nchi zilizokuwa na data ya kutegemeka kuhusu kusambaa kwa virusi miongoni mwa watu wake.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

popular broadcast journalist funmi ayanda also wrote about her frustration with the prevalence passive hand-wringing:

Swahili

mwandishi maarufu wa utangazaji funni ayanda pia aliandika kuhusu mkanganyiko wa hali iliyopo ya kuvutana mikono kimya kimya:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

subsequent seroprevalence investigations indicated that animal traders had a higher prevalence of anti-sars-cov igg compared with that of the general population.

Swahili

uchunguzi uliofuata wa kiwango cha maambukizi uliashiria kuwa wafanyabiashara ya wanyama walikuwa na kiwango cha juu cha anti-sars-cov igg ikilinganishwa na idadi ya jumla ya watu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

preliminary estimates of the prevalence of selected underlying health conditions among patients with coronavirus disease 2019 — united states, february 12–march 28, 2020

Swahili

makadirio ya awali ya maambukizi ya hali teule sugu miongoni mwa wagonjwa wa ugonjwa wa virusi vya korona 2019 — marekani, tarehe 12 februari –28 machi 2020

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

last month, the ecumenical institute for labor education research (eiler) published a baseline study which confirmed the prevalence of child labor in mines and plantations in various parts of the country.

Swahili

mwezi uliopita, taasisi ya kidini ya tafiti za elimu ya ajira(eiler) ilitoa taarifa ya utafiti msingi ambao ulithibitisha kuendelea kuwepo kwa utumikishwaji wa watoto migodini pamoja na kwenye mashamba makubwa katika maeneo mbalimbali nchini ufilipino.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

sex-based immunological differences, lesser prevalence of smoking in women and men developing co-morbid conditions such as hypertension at a younger age than women could have contributed to the higher mortality in men.

Swahili

tofauti za kingamaradhi zinazohusiana na jinsia, kiwango cha wanawake kuvuta sigara kupunguka na wanaume kuwa na maradhi zaidi ya moja kama vile shinikizo la damu katika umri mdogo kuliko wanawake kunaweza kuwa kulichangia vifo vya juu kwa wanaume.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as a proxy of the prevalence of active covid-19 cases, we calculated the 14-day truncated cumulative incidence of covid-19 cases, thus taking into account the natural course of covid-19, in each eu/eea country and the uk, during the 1 january–15 march 2020 period.

Swahili

kama sehemu ya maambukizi ya visa vilivyopo vya covid-19, tulipiga hesabu ya jumla ya matukio ya covid-19 katika siku 14 zilizopunguzwa, hivyo kuzingatia chanzo asilia ya covid-19, katika kila nchi ya eu/eea na uingereza, katika kipindi cha tarehe 1 januari hadi 15 machi 2020.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

many of these underlying health conditions are common in the united states: based on self-reported 2018 data, the prevalence of diagnosed diabetes among u.s. adults was 10.1%, and the u.s. age-adjusted prevalence of all types of heart disease (excluding hypertension without other heart disease) was 10.6% in 2017.

Swahili

hali nyingi hizi sugu ziliripotiwa nchini marekani: kulingana na data ya walioripoti wenyewe ya 2018, maambukizi ya visa vya kisukari vilivyopimwa miongoni mwa watu wazima nchini marekani yalikuwa 10.1% na maambukizi yaliyorekebishwa kulingana na umri nchini marekani miongoni mwa aina zote za magonjwa ya moyo (bila kujumuisha mshtuko wa moyo bila ugonjwa mwingine wa moyo) yalikuwa 10.6% mwaka 2017.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

modelling scenarios related to healthcare capacity saturation, with estimates for each eu/eea country and the uk of the prevalence of hospitalised covid-19 cases associated with a > 90% risk of exceeding intensive care bed capacity, are provided in the sixth update of the ecdc rapid risk assessment on covid-19.

Swahili

hali za kimuundo zinazohusiana na kulemewa kwa uwezo wa kushughulikia matibabu, kukiwa na makadirio ya kila nchi iliyo eu/eea na uingereza ya maambukizi watu walio na covid-19 waliolazwa hospitalini wenye hatari ya > 90% ya kupita uwezo wa vitanda vilivyopo kushughulikia watu walio katika hali mahututi, umetolewa katika sasisho la sita la tathmini ya hatari ya haraka kuhusu covid-19..

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the activity has created a shortage of baby formula in some supermarkets and was subsequently banned by the australian government.despite the high prevalence of covid-19 cases in northern italy and the wuhan region, and the ensuing high demand for food products, both areas have been spared from acute food shortages.

Swahili

shughuli hiyo imesababisha upungufu wa chakula cha watoto katika baadhi ya maduka makubwa na hivyo ilipigwa marufuku na serikali ya australia.licha ya kuenea pakubwa kwa visa vya covid-19 katika maeneo ya italia ya kaskazini na wuhan, na kuendelea kua kwa hitaji la bidhaa za chakula, sehemu hizo mbili zimesazwa katika upungufu mkubwa wa chakula.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the age-adjusted prevalence of copd among u.s. adults is 5.9%, and in 2018, the u.s. estimated prevalence of current asthma among persons of all ages was 7.9%.

Swahili

maambukizi yaliyorekebishwa kulingana na umri ya copd miongoni mwa watu wazima nchini marekani ni 5.9% na mnamo 2018, marekani ilikadiria maambukizi ya ugonjwa wa pumu miongoni mwa watu wa umri wote ulikuwa 7.9%.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the estimated higher prevalence of these conditions among those in this early group of u.s. covid-19 patients and the potentially higher risk for more severe disease from covid-19 associated with the presence of underlying conditions highlight the importance of covid-19 prevention in persons with underlying conditions.

Swahili

maambukizi mengi yaliyokadiriwa ya hali hizi miongoni mwa wale walio katika kikundi hiki cha mapema cha wagonjwa wa covid-19 nchini marekani na uwezekano wa hatari ya juu wa ugonjwa mbaya zaidi covid-19 kutokana na kuwepo kwa hali sugu ukiangazia umuhimu wa kuzuia covid-19 miongoni mwa watu walio na hali sugu za afya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK