Ask Google

Results for procedures translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Others criticized the lack of transparency on procedures of government ministries.

Swahili

Wengine walikosoa kukosekana kwa uwazi kwa yale yanayofanywa na wizara za serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Medical hand hygiene refers to hygiene practices related to medical procedures.

Swahili

Usafi wa mikono wa kimatibabu unarejelea shughuli za usafi zinayohusiana na taratibu za kimatibabu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Administrative controls are changes in work policy or procedures that require action by the worker or employer.

Swahili

Udhibiti wa utawala ni mabadiliko katika sera za kazi au utaratibu zinazohitaji hatua na mfanyakazi au mwajira.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

There are strict procedures and veterinary controls on the introduction of products of animal origin into the European Union

Swahili

Kuna utaritibu maalum wa uingizaji katika Umoja wa nchi za Ulaya wa chakula kilichotengenezwa kutoka kwa wanyama, hauna budi kufanyiwa uchunguzi wa makini na waganga wa wanyama

Last Update: 2014-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

In addition, it was noted that the HJRA had an acute shortage of basic materials for surgical procedures.

Swahili

Kwa yongeza, ilionekana kwamba hospitali ya HJRA ilikuwa na upungufu mkubwa wa vifaa vya msingi kwa ajili ya shughuli za upasuaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

There are strict procedures and veterinary control on the introduction of products of animal origin into the European Union for official controls

Swahili

Kuna utaritibu maalum wa uingizaji katika Umoja wa nchi za Ulaya wa chakula kilichotengenezwa kutoka kwa wanyama, hauna budi kufanyiwa uchunguzi wa makini na waganga wa wanyama

Last Update: 2014-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@moi_bahrain: Security and legal procedures would be taken against lawbreakers to protect security

Swahili

@moi_bahrain: Ulinzi na taratibu za sheria zitachukua mkondo wake dhidi ya wavunja sheria ili kuimarisha usalama

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

They carry out surgical procedures free of charge for patients that need them in the countries they visit, in partnership with local hospitals.

Swahili

Walifanya upasuaji bure kwa wagonjwa waliokuwa na uhitaji katika nchi walizozuru, kwa ushirikiano na hospitali za wenyeji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

You might also be delayed for hours upon arrival waiting for temperature checks and related procedures and paperwork, or even get quarantined for two weeks.

Swahili

Unaweza pia kucheleweshwa kwa saa kadhaa baada ya kuwasili ili kuangaliwa hali joto na taratibu na fomu husika, au hata kukarantani kwa wiki mbili.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Precautions must be taken to minimise the risk of virus transmission, especially in healthcare settings when performing procedures that can generate aerosols, such as intubation or hand ventilation.

Swahili

Lazima tahadhari izingatiwe ili kupunguza maambukizo ya virusi, hasa katika mazingira ya huduma ya afya wakati wa kufanya taratibu ambazo zinaweza kutoa erosoli, kama vile kuweka neli au kupitisha hewa kwa mgonjwa kwa kutumia mikono.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Some medical procedures such as intubation and cardiopulmonary resuscitation (CPR) may cause respiratory secretions to be aerosolised and thus result in airborne spread.

Swahili

Baadhi ya taratibu za kimatibabu kama vile kuingiza tubu na kufufua moyo na mapafu (CPR) kunaweza kusababisha majimaji ya pumu kugeuzwa kuwa hewa na hivyo kusababisha maenezi kupitia hewa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Some medical procedures such as intubation and cardiopulmonary resuscitation (CPR) may cause respiratory secretions to be aerosolized and thus result in airborne spread.

Swahili

Taratibu zingine za kimatibabu kama vile kuwekewa mrija na uhuishaji wa moyo na mapafu (CPR) huweza kufanya majimaji ya kupumua kufukizwa hewani na kwa hivyo kusambazwa kupitia hewa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@CommsBH: The procedures comes in order to prevent any breaching of observable moral values and traditions as well as for security considerations.

Swahili

@CommsBH: Hatua hizo zinakuja kwa ajili ya kuzuia uvunjaji wa tunu za maadili na utamaduni pamoja na sababu za usalama.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Aerosol-generating procedures include intubation, cough induction procedures, bronchoscopies, some dental procedures and exams, or invasive specimen collection.

Swahili

Taratibu za kuzalisha aerosoli zinajumuisha kuingiza mrija katika umio, bronkoskopi, baadhi ya taratibu na uchunguzi wa meno, au ukusanyaji wa sampuli kwa kudunga,

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Since last June, Kuwaiti parliament has been frozen by the Amir and then dissolved by the constitutional court for 'wrong procedures' in dissolving the parliament before it.

Swahili

Tangu mwisho wa mwezi Juni, Bunge la Kuwait lilisimamishwa na Rais Amir na hatimaye kuvunjwa na mahakama ya kikatiba kwa ‘taratibu zisizo sahihi’ za kuvunja Bunge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Such privileges without procedures are worrying.Renard purely came here for employment as a coach, as many of other people have come, supposed all who are in Zambia do the best are we going to adopt them,

Swahili

Renard alikuja hapa kwa kazi moja tu, nayo ni kuwa kocha, sawa sawa na ambavyo watu wengi tu wameshafanya, hebu fikiria ikiwa kila anayekuja Zambia anafanya vizuri sana, je, tutawachukua wote?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If close contact occurs during apprehension, workers should clean and disinfect their duty belt and gear prior to reuse using a household cleaning spray or wipe, and follow standard operating procedures for the containment and disposal of used PPE and for containing and laundering clothes.

Swahili

Ikiwa kutakuwa na mgusano wa karibu wakati wa kuchukuliwa, wafanyakazi wanapaswa kusafisha na kutakasa mkanda na vifaa vyao vya kazi kabla ya kuvitumia tena kwa kutumia kinyunyizi au kipanguzaji cha kusafisha cha nyumbani, na wafuate taratibu za kawaida za kufanya kazi na utupaji wa PPE na vya kuweka na kufua nguo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

These become very high exposure risk if workers perform aerosol-generating procedures on, or collect or handle specimens from, known or suspected COVID-19 patients.

Swahili

Kazi hizi zinakuwa zenye hatari kubwa ya kuambukizwa ikiwa wafanyakazi wanatekeleza taratibu za kuzalisha aerosoli, au kukusanya au kushughulikia sampiuli kutoka kwa wagonjwa wanaojulikana au kushukiwa wa COVID-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

We will use them to argue for improving governance systems and procedures, tightening law enforcement and regulation and thereby reduce the scope for corruption in obtaining services from the government. We invite you to register any recent or old bribes you have paid.

Swahili

Ripoti hizo zitatumiwa kutetea uboreshaji wa mifumo na utaratibu wa serikali,utekelezaji wa sheria na hivyo basi kupunguza visa vya ufisadi mtu anapotaka huduma za serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Early research to assess vaccine efficacy using COVID-19-specific animal models, such as ACE2-transgenic mice, other laboratory animals, and non-human primates, indicate a need for biosafety-level 3 containment measures for handling live viruses, and international coordination to ensure standardized safety procedures.

Swahili

Utafiti wa mapema wa kutathmini ufanisi wa chanjo kwa kutumia mifamo maalum ya covid-19 ya wananyama, kama vile ACE2 yenye jeni kutoka kwa panya, wanyama wengine wa maabara, na chembe zingine zisizo za kibinadamu, unaonyesha hitaji za hatua za uzuizi wa kiwango cha 3 cha usalama wa chembe za kuambukiza, na uratibu wa kimataifa ili kuhakikisha taratibu sanifu za usalama.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK