Ask Google

Results for prospective translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Why aren’t agencies soliciting prospective parents of Haitian descent?

Swahili

Kwa nini mashirika hayo yasiwahamasishe wazazi watarajiwa wenye asili ya Haiti?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

How many prospective adoptive parents have been trained in cross cultural and transracial adoption issues?

Swahili

Wazazi watarajiwa wangapi wameshapata mafunzo kuhusiana na masuala ya kuasili watoto wa tamaduni na rangi tofauti?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And now that a prospective vaccine is about to go through trials, here we go again with our conspiracy theories.

Swahili

Na sasa kwa sababu chanjo inaelekea kufanyiwa majaribio, sisi hawa hawa tunakuja na hisia zetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

When you have divorced your wives absolutely and they have completed their prescribed term, then you should not prevent them from marrying their prospective husbands, if they mutually agree to marry each other in a lawful way.

Swahili

Na mtakapo wapa wanawake t'alaka nao wakamaliza eda yao, basi msiwazuie kuolewa na waume zao endapo baina yao wamepatana kwa wema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

They should adopt a skeptical disposition and thoroughly question prospective candidates ... Civil Society, the Church, political parties and all of us must press for a drastic reduction in the powers of the Executive, arguably the greatest single problem.

Swahili

Lazima wajenge hali ya kutokuwaamini kirahisi wanasiasa na wawaulize maswali mazito wanapogombea nafasi za uongozi….vyama vya kiraia, makanisa, vyama vya kisiasa na sisi sote lazima tushinikize kupunguzwa kwa madaraka ya watalawa, ambalo kwa hakika ndilo tatizo kubwa linalotukabili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK