Results for remotely translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

some of our colleagues are working remotely for the first time.

Swahili

baadhi ya wenzetu wanafanya kazi kwa mbali kwa mara ya kwanza.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

at least for the next few years, till a unp government implements a political solution, they will be remotely controlled from colombo.

Swahili

kwa miaka michache ijayo, mpaka hapo serikali ya unp itakapotekeleza sera zake kisiasa, watakuwa wanaendeshwa kutokea colombo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

2) france feared that the tutsi offensive was remotely piloted via uganda by anglophone countries and was intended to drive a wedge into the influence of france in the region.

Swahili

2) ufaransa ilikuwa na wasiwasi kuwa jitihada za kujikinga zilizofanywa na watutsi zilifanyika uganda kwa kuratibiwa na nchi zizungumzazo kifaransa lengo likiwa ni kupunguza nguvu ya ufaransa kwenye eneo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

actually it is bizarre if an innocent citizen uses a name which remotely is the same as the one of a multinational, in a strictly personal context, is being sued for that reason only. yet i'm afraid goliath has a point here - because the legal system is to a large extent the product of the interests of the goliaths.

Swahili

kumshitaki raia mwema kwasababu tu anatumia jina ambalo kwa umbali ni sawa tu na lile litumikalo na kampuni kubwa ya kimataifa, kwa kweli ni kituko nafikiri bado goliath yuko sahihi hapa – kwasababu mfumo wa sheria kwa kiasi kikubwa upo kwa matakwa ya goliati.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in response to school closures caused by covid-19, unesco recommends the use of distance learning programmes and open educational applications and platforms that schools and teachers can use to reach learners remotely and limit the disruption of education.to aid in slowing the transmission of covid-19, hundreds of libraries have temporarily closed.

Swahili

kama mwitikio wa kufungwa kwa shule kutokana na covid-19, unesco inapendekeza matumizi ya mipango ya masomo ya mbali na programu wazi za kielimu na majukwaa ambayo shule na waalimu wanaweza kutumia kufikia wanafunzi walio mbali na kupunguza kuvugwa kwa elimu.ili kusaidia kupungua kwa maenezi ya covid-19, mamia ya maktaba yamefungwa kwa muda.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the impact was more severe for disadvantaged children and their families, causing interrupted learning, compromised nutrition, childcare problems, and consequent economic cost to families who could not work.in response to school closures, unesco recommended the use of distance learning programmes and open educational applications and platforms that schools and teachers can use to reach learners remotely and limit the disruption of education.

Swahili

athari hiyo ilikuwa mbaya zaidi kwa watoto wasiojiweza na familia zao, na kusababisha kukatizwa kwa masomo, lishe duni, matatizo ya ulezi wa watoto, na gharama iliyosababishwa kwa familia ambazo hazingeweza kufanya kazi.kwa mujibu wa kufungwa kwa shule, unesco ilipendekeza matumizi ya mafunzo kupitia njia za kimtandao na programu fikivu za kielimu na jukwaa ambazo shule na walimu wanaweza kutumia kufikia wanafunzi mtandaoni na kupunguza kukatizwa kwa elimu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK