Ask Google

Results for ryan translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

meaning of ryan

Swahili

maana ya ryan

Last Update: 2018-07-03
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

English

Photo by Ryan Chua

Swahili

Picha kwa hisani ya Ryan Chua

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Ryan Cummings, a South African security analyst, says postponing election because of Boko Haram is nonsensical:

Swahili

Ryan Cummings, Mchambuzi wa Afrika ya Kusini wa masuala ya Usalama anasema kuwa, kuahirishwa kwa uchaguzi kwa sababu ya Boko Haram ni jambo lisilokuwa na maana kabisa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Ryan Ik appreciated the clarification but he also felt that "without any words of sympathy, the update feels very cold."

Swahili

Ryan Ik alikubaliana na ufafanuzi huo lakini alijisikia "kukosa maneno ya kutoa pole, habari hizo hazikuwa za kiungwana."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

It would've been an easier sell to postpone elections due to PVC distribution problems. #BokoHaram issue nonsensical #Nigeriadecides — Ryan Cummings (@Pol_Sec_Analyst) February 7, 2015

Swahili

Ingekuwa rahisi sana kueleweka kama sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi ingekuwa imesababishwa na matatizo ya usambazaji wa Kadi za Kudumu za wapiga kura (PVC). #BokoHaram siyo sababu yenye mashiko#Nigeriadecides — Ryan Cummings (@Pol_Sec_Analyst) February 7, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Pablo Mancini interviewed Ryan Sholin, who's behind the project, and he points out that Reporting On "is a non profit project financed by Knight News Challenge in order to improve local news, connecting people who don't talk with each other enough".

Swahili

Pablo Mancini alifanya mahojiano na Ryan Sholin ambaye yupo nyuma ya mradi huu, anabainisha kuwa Reporting On "ni mradi usiolenga katika faida unaofadhiliwa na Knight News Challenge ili kuimarisha habari za ndani, kuunganisha watu ambao huwa hawasemezani vya kutosha na wengine".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK