From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
and as they spake unto the people, the priests, and the captain of the temple, and the sadducees, came upon them,
petro na yohane walipokuwa bado wanawahutubia watu, makuhani na mkuu wa walinzi wa hekalu pamoja na masadukayo walifika.
but when he saw many of the pharisees and sadducees come to his baptism, he said unto them, o generation of vipers, who hath warned you to flee from the wrath to come?
lakini alipowaona mafarisayo wengi na masadukayo wanamjia ili awabatize, aliwaambia, "enyi kizazi cha nyoka! ni nani aliyewadokezea kwamba mnaweza kuiepuka ghadhabu inayokuja?
then the high priest - rose - up, and all they that were with him, (which is the sect of the sadducees,) and were filled with indignation,
kisha, kuhani mkuu na wenzake waliokuwa wa kikundi cha masadukayo wa mahali hapo, wakawaonea mitume wivu.
but when paul perceived that the one part were sadducees, and the other pharisees, he cried out in the council, men and brethren, i am a pharisee, the son of a pharisee: of the hope and resurrection of the dead i am called in question.
wakati huo paulo alikwisha tambua kwamba sehemu moja ya wanabaraza wale ilikuwa ni masadukayo na nyingine mafarisayo. basi, alipaaza sauti yake mbele ya baraza: "ndugu zangu, mimi ni mfarisayo, mwana wa mfarisayo. mimi nimeletwa mahakamani kwa kuwa ninatumaini kwamba wafu watafufuka."