Results for slum translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

aerial view of kibera slum in nairobi, kenya.

Swahili

picha ya angani ya makazi duni ya kibera nairobi, kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

aside from meeting the leaders of indonesia, clinton found the time to visit a slum community in jakarta.

Swahili

pamoja na kukutana na viongozi wa indonesia, clinton alipata muda wa kutembelea makazi ya watu masikini mjini jakarta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

brazil: a view from slum dwellers on rio's drugs war · global voices

Swahili

brazil: mtazamo wa wakazi wa vitongoji maskini

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many slum-dwellers in mumbai, where the movie was shot, have protested because they were called slumdog in that movie.

Swahili

wakazi wengi wanaoishi kwenye vitongoji visivyo na mpangilio mjini mumbai ambko filamu hii ilichukuliwa, wameipinga kwa sababu wamepachikwa jina la mbwa koko wa mitaani au 'slumdog' katika filamu hiyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the incident happened on august 16, 2012 in the slum meherabadi in g-12, islamabad where she lives with her family.

Swahili

jambo hili lilitokea mnamo agosti 16, 2012 mjini islamabad katika mtaa wa meherabadi katika g-12 ambao ni mtaa mdogo wenye idadi kubwa ya watu masikini na ndiyo sehemu anayoishi msichana huyu pamoja na familia yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the project documents the lives of the residents of kibera—the largest urban slum in africa—on a tumblr blog.

Swahili

mradi huu unatuonyesha vyema maisha ya wakazi wa kibera—makazi duni yaliyo kubwa zaidi kenya—kwa mtandao wa tumblr.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this is a fascinating love story between sam from kibera, a slum in the city of nairobi, kenya and alissa from minnesota, usa:

Swahili

hii ni hadithi ya kusisimua ya mapenzi kati ya sam, anayetoka kibera, makazi ya masikini kwenye jiji la nairobi, kenya, na alissa, anayetoka minnesota, marekani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

are there really slums in musoma

Swahili

kwani musoma kuna masharobaro

Last Update: 2021-05-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

young people in kibera, kenya, which is known to some as africa's largest slum, are determined to show a different face of the place where they live.

Swahili

vijana wa kibera, kenya, kitongoji ambacho kinajulikana kwa baadhi kama eneo kubwa la hovyo zaidi ya yote barani afrika, wamedhamiria kuonesha sura nyingine ya mahali wanapoishi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK