Results for tickets translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

tickets cost € 20.

Swahili

tiketi linapatikana kwa euro 20.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

world mikeka vip tickets 100%

Swahili

duniani mikeka vip tickets 100%

Last Update: 2021-08-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in some cases that means more expensive tickets.

Swahili

katika baadhi ya visa hiyo inamaanisha tiketi ghali zaidi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

some reports claim that tickets are now entirely sold out!

Swahili

baadhi ya taarifa zinadai kuwa tiketi zote zimekwishauzwa hivi sasa!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

charles el meliani on jol press writes that a record number of tickets were sold for these games:

Swahili

charles el melieani katika jarida la jol anaandika kuwa idadi kubwa ya tiketi iliyovunja rekodi zimenunuliwa kwa ajili ya mashindano haya.:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

avoid buying tickets with a connection in an affected area – even changing planes can make you subject to restrictions.

Swahili

epuka kununua tiketi zinazounganisha safari katika eneo lililoathirika - hata kubdilisha ndege kunaweza kufanya uwekewe vikwazo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

haji, who has run on opposition tickets in tanzanian presidential elections in the past, was minister of infrastructure and communications until lowassa defected.

Swahili

haji, ambaye katika chaguzi za miaka kadhaa iliyopita amekuwa akigombea kwenye nafasi za kitaifa kwa tiketi ya vyama vya upinzani, alikuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano hadi kipindi lowassa anaihama ccm.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

harraca explained to argentinian newspaper clarín that after confirming that they had tickets to see argentina play, him and a group of friends wanted to do something different to celebrate.

Swahili

harraca alilieleza gazeti la ajentina clarín kwamba baada ya kuthibitisha kwamba walikuwa wamekata tiketi kwa ajili ya kushuhudia mpambano huo wa ajentina, yeye na rafiki zake walitaka kufanya jambo tofauti kusherehekea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

another possibility is to buy two separate tickets (for instance, a ticket from china to cambodia and a second ticket from cambodia to the u.s.), but be careful you won't get quarantined or lose your luggage in between.

Swahili

uwezekano mwingine ni kununua tiketi mbili tofauti (kwa mfano, tiketi kutoka uchina hadi kambodia na tiketi ya pili kutoka kambodia hadi marekani.), lakini kuwa mwangalifu usiingie karantini au upoteze mizigo yako hapo katikati.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

another well-known wealthy personnel, u zaw zaw, who is president of myanmar football federation announced that he will donate 1,000 air tickets for those who want to go back to myanmar, plus additional $20,000 us dollars donation to kampung ffss.

Swahili

tajiri mwingine mashuhuri sana, u zaw zaw, ambaye ni rais wa shirikisho la soka la myanmar alitangaza kuwa atachangia tiketi 1,000 za ndege kwa wote wanaohitaji kurudi nchini myanmar, pamoja na kuchangia dola za kimarekani 20,000 kampung ffss.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as i write this, i am eerily reminded that in ethiopia, expressing your views can get you a first class ticket to prison.

Swahili

ninapoandika haya, kwa uwoga nakumbushwa kwamba nchini ethiopia, kutoa maoni yako kunaweza kukufanya uakapewa tiketi ya daraja la kwanza gerezani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

for instance, most aggregators are not selling tickets from china to the united states (presumably to avoid falling afoul of restrictions and being on the hook for a passenger's flight out).

Swahili

kwa mfano, wauzaji hawauzi tiketi kutoka uchina hadi marekani (hiyo ni kwa sababu ya kuepuka kukiuka vikwazo na kushindwa kupata ndege ya abiria ya kutoka)

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

if you have been stranded due to the pandemic, your nearest consulate may be able to help you find a flight home, arrange an emergency loan so you can buy a ticket, or provide an emergency passport.

Swahili

ikiwa umekwama kwa sababu ya janga hili, ubalozi wako ulio karibu unaweza kukusaidia kupata ndege ya kukupeleka nyumbani, kupanga mkopo wa dharura ili uweze kununua tiketi, au kukupa pasipoti ya dharura.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i’m fully aware that it is the country’s soccer culture, but it has to be done away with! nobody will buy a ticket to have some guy blow the crap out of a vuvuzela throughout the match!

Swahili

hakuna atakayenunua tiketi ili eti jamaa ampigie kelele za vuvuzela mechi nzima!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

music, tritha sinha says, was her way out — a ticket to financial independence and liberation.

Swahili

muziki, tritha sinha anasema, ulikuwa njia ya kutokea -tiketi ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha na kujitegemea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the mission of this project was to give inmates "a ticket for a tour of the outside world they longed for."

Swahili

lengo haswa la mradi huu lilikuwa ni kuwapa wafungwa wenzangu “fursa ya kuyafahamu yanayoendelea nje ya gereza, jambo walilolitamani kwa muda mrefu"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

to buy a ticket for an itinerary like this, you may have to contact the airline or use a lesser-known aggregator.

Swahili

ili kununua tiketi ya safari kama hii, huenda ukalamizika kuwasiliana na ndege au utumie muuzaji asiyejulikana sana.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

u aung ko win, president of the kanbawza bank who also runs myanmar airways international (mai) donated $50,000 us dollars and cut the mai air ticket fees of the malaysia-myanmar route by 50% for the convenience of migrants who wish to go back to myanmar.

Swahili

u aung ko win, ambaye ni rais wa benki ya kanbawza ambaye pia ni mmiliki wa shirika la ndege la kimataifa la myanmar (mai) alichangia dola za kimarekani 50,000 na kutoa tiketi za ndege kwa punguzo la asilimia 50 kwa safari ya malasia-myanmar ili kuwarahisishia wahamiaji wote wanaotaka kurudi nchini myanmar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

you may find it harder than usual to buy a ticket to or from a destination subject to warnings and restrictions.

Swahili

huenda ukapata kuwa vigumu kuliko kawaida kununua tiketi kwenda au kutoka mwisho wa safari yako kulingana na maonyo na vikwazo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

“the introduction of the women’s reservations bill in 14th lok sabha has prompted more women asking for tickets from major parties this time, but the selection of candidates by the latter reveals that electoral politics in india still remains a male preserve.

Swahili

“kuwasilishwa kwa muswada wa viti maalum vya wanawake katika kikao cha 14 cha baraza la wawakilishi (lok sabha) kumewafanya wanawake waanze kuwania tiketi kwenye vyama vikubwa, lakini uteuzi wa wagombea kwenye vyama hivyo unaonyesha kwamba siasa za uchaguzi nchini india bado ni hifadhi ya wanaume.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK