Ask Google

Results for unhappy translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Yet I'm still unhappy.

Swahili

Bado name si mwenye furaha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

None shall enter it but the most unhappy,

Swahili

Hatauingia ila mwovu kabisa!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

I expect that I will not be in invocation to my Lord unhappy."

Swahili

Na ninamwomba Mola wangu Mlezi; asaa nisiwe mwenye kukosa bahati kwa kumwomba Mola wangu Mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

But those of the left hand -- how (unhappy) those of the left hand --

Swahili

Na watu wa kushotoni; je ni yepi ya wa kushotoni?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

But those who reject Our Signs, they are the (unhappy) Companions of the Left Hand.

Swahili

Lakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Then those of the left hand -- how (unhappy) will be those of the left hand!

Swahili

Na wa kushotoni; je, ni wepi wa kushotoni?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

That makes it likelier that they will be comforted and not feel unhappy, and all of them will be pleased with what you give them.

Swahili

Kufanya hivi kutapelekea yaburudike macho yao, wala wasihuzunike, na wawe radhi juu ya kile unacho wapa wao wote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

So as to those who are unhappy, they shall be in the fire; for them shall be sighing and groaning in it:

Swahili

Ama wale wa mashakani hao watakuwamo Motoni wakiyayayatika na kukoroma.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

So there will surely come to you guidance from Me, then whoever follows My guidance, he shall not go astray nor be unhappy;

Swahili

Na ukikufikieni uwongofu kutoka kwangu basi atakaye ufuata uwongofu wangu, hatapotea wala hatataabika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

This is an enemy to you and to your wife; therefore let him not drive you both forth from the garden so that you should be unhappy;

Swahili

Hakika huyu ni adui yako na wa mkeo. Basi asikutoeni katika Bustani hii, mkaingia mashakani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The way your Lord caused you, O dear Prophet to come forth from your home with the truth; and indeed a group of Muslims were unhappy about it.

Swahili

Kama Mola wako Mlezi alivyo kutoa nyumbani kwako kwa Haki, na hakika kundi moja la Waumini linachukia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Despite of their bravery to live alone, they just stick with an unhappy marriage because afraid of what other people think, or simply because they are not independent, financially or mentally.

Swahili

Pamoja na ujasiri wao wa kuishi pekee, wanang'ang'ania ndoa zisizo na furaha kwa sababu wanahofia watu wengine watafikiriaje, au kwa sababu tu hawako huru, kifedha au kiakili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Others are unhappy about any dialogue with "the Great Satan," as the United States is most often referred to in Iran's official speeches.

Swahili

Wengine hawakufurahia mazungumzo hayo na "Shetani Mkuu," jina ambalo Marekani huitwa kila hotuba rasmi za Iran zinapotolewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

The 51-year-old Tymoshenko, who was mostly covered by bed-clothes, was clearly unhappy at being filmed, though her words were not audible.

Swahili

Tyomoshenko mwenye umri wa miaka 51, alikuwa amefunikwa na mashuka, na alionyesha wazi kuwa hakufurahishwa na kitendo cha kuchukuliwa kwa filamu ile, ingawa maneno yake hayakuweza kusikika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

He said, "My Lord, indeed my bones have weakened, and my head has filled with white, and never have I been in my supplication to You, my Lord, unhappy.

Swahili

Akasema: Mola wangu Mlezi! Mafupa yangu yamedhoofika, na kichwa kinameremeta kwa mvi; wala, Mola wangu Mlezi, sikuwa mwenye bahati mbaya kwa kukuomba Wewe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

Unhappy with President Ram Baran Yadav's decision to reinstate sacked Army Chief Rookmangud Katwal (Katwal was sacked by then Maoist led government), the former rebels launched massive protest across the nation.

Swahili

Wakiwa hawajafurahia uamuzi wa Rais Ram Baran Yadav wa kumrejesha madarakani Kiongozi wa jeshi aliyefukuzwa kazi Rookmangud Katwal (Katwali alifukuzwa kazi na serikali iliyoongozwa na kundi la ki-Mao), wapiganaji hao wa zamani wa upinzani walizindua maandamano makubwa nchini kote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And those who break the Covenant of Allah, after its ratification, and sever that which Allah has commanded to be joined (i.e. they sever the bond of kinship and are not good to their relatives), and work mischief in the land, on them is the curse (i.e. they will be far away from Allah's Mercy); And for them is the unhappy (evil) home (i.e. Hell).

Swahili

Na wale wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kuzifunga, na wanakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu yaungwe, na wanafanya fisadi katika nchi: hao ndio watakao pata laana, na watapata Nyumba mbaya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And when Our sent angels came to Lut, he was unhappy at their arrival and was depressed – and they said, “Do not fear or grieve; we will surely rescue you and your family, except your wife, who is of those who will stay behind.”

Swahili

Na wajumbe wetu walipo mfikia Lut'i, alihuzunika kwa ajili yao, na moyo uliona dhiki kwa ajili yao. Wakasema: Usiogope, wala usihuzunike.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If some good reaches you, they feel unhappy; and if misfortune befalls you, they will rejoice; and if you remain steadfast and pious, their evil scheme will not harm you in the least; undoubtedly all what they do is encompassed by Allah.

Swahili

Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

On the day when it shall come, no soul shall speak except with His permission, then (some) of them shall be unhappy and (others) happy.

Swahili

Siku hiyo itakapo fika, hatosema hata mtu mmoja ila kwa idhini yake Mwenyezi Mungu. Kati yao watakuwamo waliomo mashakani na wenye furaha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK