Results for warranties translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

warranty

Swahili

wakati

Last Update: 2014-09-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

warranty

Swahili

udhamini

Last Update: 2015-12-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and assuredly we sent musa with our signs and a manifest warranty.

Swahili

na hakika tulimtuma musa pamoja na ishara zetu na uthibitisho ulio wazi

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and how should i fear that which ye have associated, while ye fear not to have associated with allah that for which he hath sent down unto you no warranty?

Swahili

na vipi nivikhofu hivyo mnavyo vishirikisha, hali nyinyi hamkhofu kuwa nyinyi mmemshirikisha mwenyezi mungu na kitu ambacho hakukiteremshia uthibitisho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and whosoever calleth, along with allah, unto anot her god, of whom he hath no warranty, then his reckoning is only with his lord; verily thrive will not the infidels.

Swahili

na anaye muomba - pamoja na mwenyezi mungu - mungu mwenginewe hana ushahidi wa hili; basi bila ya shaka hisabu yake iko kwa mola wake mlezi. kwa hakika makafiri hawafanikiwi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

anon shall we cast a terror into the hearts of those who disbelieve, for they have associated with allah that for which allah hath sent down no warranty, and their resort is the fire: vile is the abode of the wrong-doers!

Swahili

tutazitia khofu nyoyo za walio kufuru kwa vile walivyo mshirikisha mwenyezi mungu na washirika ambao hakuwateremshia hoja yoyote. na makaazi yao ni motoni; na maovu yaliyoje maskani ya wenye kudhulumu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

dispute ye with me over names ye have named, ye and your fathers, for which allah hath sent down no warranty?

Swahili

mnabishana nami kwa ajili ya majina tu mliyo yaita nyinyi na baba zenu ambayo kwayo mwenyezi mungu hakuteremsha uthibitisho?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

no warranty is there with you for this.

Swahili

nyinyi hamna uthibitisho wowote wa haya!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

or, is there for you a clear warranty

Swahili

au mnayo hoja iliyo wazi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

say thou: my lord hath only forbidden indecencies the open thereof and the hidden thereof, and sin, and high-handedness without justice, and ye associate aught with allah, for which he hath sent down no warranty, and that ye speak falsely of allah that which ye know not.

Swahili

sema: mola mlezi wangu ameharimisha mambo machafu ya dhaahiri na ya siri, na dhambi, na uasi bila ya haki, na kumshirikisha mwenyezi mungu na asicho kiletea uthibitisho, na kumzulia mwenyezi mungu msiyo yajua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

surely i shall torment him with a severe torment, or i shall slaughter him, unless he bringeth unto me a warranty manifest.

Swahili

kwa yakini nitamuadhibu kwa adhabu kali, au nitamchinja, au aniletee hoja ya kutosha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

these: against them we have given you a clear warranty.

Swahili

na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

they said: ye are but like us; ye mean to turn us aside from that which our fathers have been worshipping; so bring us a warranty manifest.

Swahili

mnataka kutuzuilia na waliyo kuwa wakiabudu baba zetu. basi tuleteeni hoja ilio wazi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

would ye give allah against you a manifest warranty!

Swahili

je, mnataka mwenyezi mungu awe na hoja iliyo wazi juu yenu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ye worship not, beside him, but names ye have named, ye and your fathers: allah hath not sent down for them any warranty.

Swahili

hamuabudu badala yake ila majina tu mliyo yapanga nyinyi na baba zenu. mwenyezi mungu hakuyateremshia hayo uthibitisho wowote.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK