Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ministry of water welfare
wizara ya ustawi wa maji
Last Update: 2023-02-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
principal human resource welfare
afisa mkuu wa rasilimali watu
Last Update: 2022-01-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
my welfare is only in allah.
na sipati kuwezeshwa haya ila na mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
they blame you about the distribution of the welfare funds.
na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
blogger and journalist ivan davydov took a social welfare angle :
mwanablogu na mwandishi wa habari ivan davydov alilitazama suala hili kwa msimamo wa ustawi wa jamii :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
say, "promotion of their welfare is an act of great goodness.
sema: kuwatengenezea ndio kheri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and no friend will inquire about [the welfare of his] friend,
wala jamaa hatamuuliza jamaa yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for the majority of african countries, social welfare systems are still evolving.
kwa nchi nyingi za ki-afrika, mifumo ya ustawi wa jamii bado inaendelea kukua.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
brita visited the center and recognized its role in protecting the welfare of elephants:
brita alitembelea kituo hiki na kugundua wajibu wake wa kutunza uhai wa tembo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
enforcing shariah will not make me a better muslim nor will it make pakistan a welfare state.
kutekeleza shariah hakutanifanya kuwa muislamu bora wala kuboresha hali ya mambo nchini pakistan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
who do not give a due share of their wealth for the welfare of others, and do not believe in the hereafter.
ambao hawatoi zaka na wanaikataa akhera.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
assane fall-diop summarizes the struggles that are still needed to achieve a real social welfare system in africa :
assane fall-diop anaweka muhtasari wa jitihada ambazo bado zinahitajika kufikia mfumo wa kweli wa ustawi wa jamii barani afrika: :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do not use allah's name for such oaths which are taken to keep back from virtue, piety and the welfare of mankind:
wala msifanye jina la mwenyezi mungu katika viapo vyenu kuwa ni kisingizio cha kuacha kufanya wema na kuchamngu na kupatanisha baina ya watu. na mwenyezi mungu ni mwenye kusikia na mwenye kujua.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if you’re seriously talking about the welfare of the child, isn’t it best for the family to remain together?
kama unazungumzia kwa kumaanisha kuhusu ustawi wa motto, je si vyema zaidi kwa familia nzima kuwa pamoja?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
there has come to you a messenger of allah from among yourselves, who is distressed by the losses you sustain, who is ardently desirous of your welfare and is tender and merciful to those that believe.
hakika amekwisha kujieni mtume kutokana na nyinyi wenyewe; yanamhuzunisha yanayo kutaabisheni; anakuhangaikieni sana. kwa waumini ni mpole na mwenye huruma.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do they not know that it is god who accepts the repentance of his servants and receives the welfare funds and that it is god who is all-forgiving and all-merciful?
je! hawajui ya kwamba mwenyezi mungu anapokea toba ya waja wake, na anazikubali sadaka, na kwamba mwenyezi mungu ni mwingi wa kupokea toba na mwenye kurehemu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
organizers of the event, 8th of september and the macedonian platform against poverty, are demanding a change in social welfare laws to provide decent basic income for macedonia's poorest citizens.
waandaaji wa tukio hilo, septemba 8 na jukwaa la macedonia kupinga umasikini, wanadai mabadiliko katika sheria za ustawi wa jamii ili kuwapatia kipato cha kumudu maisha raia wa macedonia waliomasikini kabisa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
god has made the kabah, the sacred house, the sacred months, the unmarked and marked sacrificial animals for the welfare of men and in order to inform you that god knows all that is in the heavens and the earth. he has the knowledge of all things.
mwenyezi mungu ameifanya al kaaba, hii nyumba tukufu, ni simamio la watu, na kadhaalika miezi mitukufu, na wanyama wa dhabihu, na vigwe. hayo ili mjue ya kwamba mwenyezi mungu anayajua yaliyomo mbinguni na yaliyomo katika ardhi, na ya kwamba mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
social welfares
ustawi wa jamii
Last Update: 2018-12-16
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: