Results for l'huile de rose musquée translation from French to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

French

Swahili

Info

French

l'huile de rose musquée

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

le scandale du bois de rose impacte désormais sérieusement le processus politique de madagascar.

Swahili

suala hili la ufisadi wa rosewood hivi sasa unaathiri mchakato wa kisiasa nchini madagascar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

le problème de la déforestation à madagascar ne se limite malheureusement pas au trafic de bois de rose.

Swahili

suala la kupotea kwa misitu huko madagascar kwa bahati mbaya haliishii kwenye biashara ya magogo ya rosewood.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

a quoi afrogay répondrait aux militaires aspergeant l'opposition de rose : merci les gars mais la couleur rose est une métaphore, il ne faut pas prendre ça au premier degré.

Swahili

(swali ambalo) afrogay atamjibu kiongozi wa askari wanaowalowesha wapinzani kwa rangi ya waridi: ahsanteni jamaa lakini rangi ya waridi ni sitiari tu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

il est évident que ces gens ont été aspergés de rose pour que la police puisse les poursuivre et les interroger et les persécuter pour détruire leur esprit civique et leur sens de la liberté d'expression !

Swahili

bila ya shaka watu hawa wananyunyuziwa rangi ya waridi ili polisi waweze kuwanyanyapaa na kuwahoji na kuwaonea wakati wanajaribu kuvunja moyo wao wa jukumu la kiraia na uhuru wa kujieleza!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

elles emboîtent aussi le pas à des rapports d'amnesty international et du départment d'etat américain qui attestent de multiples violations des droits humains ainsi que de la poursuite du trafic international illégal de bois de rose précieux des forêts pluviales de madagascar .

Swahili

vikwazo hivyo pia vinakuja katika kipindi ambapo shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu na idara ya serikali ya marekani ambazo kwa pamoja huweka kumbukumbu ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na biashara haramu inayoendelea ya usafirishaji kuvuka mipaka ya kimataifa ya mti adimu unaojulikana kama rosewood kutoka misitu ya nchi hiyo ya madagaska.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

certains utilisateurs zambiens des médias sociaux ne sont pas d'accord avec m. hichilema, qui a passé la journée à réconforter les déçus et distribuer des sacs de farine de maïs et de l'huile de cuisine. c'est m. canicius banda, l'un des deux vice-présidents de l'upnd, qui a attiré le plus l'attention à propos du jubilé d'or de la zambie par une question publiée sur facebook.

Swahili

baadhi ya wa-zambia wanaotumia mitandao ya kijamii hawakukubaliana na hichilema, aliyetumia siku nzima ya uhuru kuwafariji wenye shida na kugawa magunia ya mahindi na mafuta ya kupikia, lakini haikuwa canicius banda, mmoja wa makamu rais wawili wa chama upnd waliovutia watu wengi kwenye sherehe za miaka hamsini ya uhuru kwa swali waliloliwekwa kwenye mtandao wa facebook.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,790,296,920 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK