Ask Google

Results for naturelles translation from French to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

French

Swahili

Info

French

Je veux dire, nous avons rarement des catastrophes naturelles et ce genre de choses.

Swahili

Yaani, ni nadra kwetu kukumbwa na majanga ya asili na mambo kama hayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

Nabil Omar se plaint de la mauvaise gestion des ressources naturelles telles que la tanzanite :

Swahili

Nabil Omar alilalamikia usimamizi mbovu wa mali asili kama Tanzanite:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

car si Dieu n`a pas épargné les branches naturelles, il ne t`épargnera pas non plus.

Swahili

Kwa maana, ikiwa Mungu hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

French

Le documentaire prétend que, loin d'être mort de causes naturelles, Arafat a été empoisonné au polonium.

Swahili

Alifariki dunia Mjini Paris mnamo tarehe 11 Novemba, 2004 na makala hayo yaliashiria kwamba hakufariki kwa njia ya kawaida ila aliwekewa sumu ya poloni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

Dans la région, la dégradation des sols et la mise en culture de terres marginales accroissent le risque que des événements climatiques extrêmes se transforment en catastrophes naturelles.

Swahili

Katika kanda, uharibifu wa ardhi na kilimo pembezoni mwa ardhi huzidisha hatari ya kwamba matukio yaliyokithiri yanaweza kubadilika kuwa maafa ya asili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

Alors que le monde subit des catastrophes naturelles, le Nigeria vit des catastrophes qu'il s'inflige à lui-même.

Swahili

Wakati dunia inakumbwa na majanga ya asili, Naijeria inakumbwa na majanga tuliyoyatengeneza wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

Entre les catastrophes naturelles, les épidémies, les chefs de guerre en Land Cruiser à tourelle, tout ça… Comment savoir qui sont les méchants et les gentils?

Swahili

Kati ya majanga, magonjwa ya kuambukiza, wakuu wa majeshi pinzani wanaorandaranda ndani ya magari ya Land Cruiser, na hayo yote… ni kina nani tunaowatambua kama kundi "zuri" au kundi "baya"?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

French

De nombreux Malgaches sont convaincus que Madagascar, comme beaucoup de pays d'Afrique est riche de ressources naturelles mais a souffert de la mauvaise gouvernance et de l'inégalité des échanges.

Swahili

Wa-Malagarasi wanaamini kwamba Madagaska, kama nchi nyingine za Kiafrika inao utajiri mkubwa wa rasili mali lakini tatizo likiwa ardhi yenyewe kupokonywa kwa sababu ya utawala mbovu na biashara zisizoangalia maslahi ya wananchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

French

couleur naturelle

Swahili

Black colour

Last Update: 2020-02-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

Cela ne suffit pas à chauffer entièrement un logement, mais c'est assez pour un usage d'appoint, pour cuisiner et pour chauffer de l'eau d'une manière naturelle."

Swahili

Siyo njia inayofaa ya kutengeneza gesi ya kutosha ili kupasha moto nyumba, lakini inatosha kabisa kuongezea moto wa kupikia na kuchemsha maji ya moto kwa njia bora.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

French

Ces transferts vers Haïti vont faire un bond cette année, comme ça a toujours été le cas après une crise ou une catastrophe naturelle.

Swahili

Pesa zinazotumwa na ndugu na marafiki kwenda Haiti zitaongezeka mwaka huu, kama ambavyo imewahi kutokea kila wakati na kila sehemu zilizopatwa na majanga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

D'une façon ou d'une autre, j'y vois la main de Mbeki… Dans un pays riche de ses ressources naturelles, il a floué sa plus grande richesse, le peuple, en le privant d'une opportunité de prendre un bon départ dans la lutte contre le SIDA.

Swahili

Kwa namna fulani, naona ushawishi wa Mbeki katika jambo hili ... Katika nchi ambayo ina utajiri mkubwa wa maliasili, amehadaa rasilimali watu iliyo muhimu sana, kwa kuwanyima fursa ya watu kuamua na kuanza kupambana na tatizo hili la UKIMWI kikamilifu.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

Dans un discours prononcé lors d'une audition spéciale sur l'évaluation de l'impact environnemental du développement de la première phase du gisement pétrolifère baptisé Jubilee, organisée par la Chambre occidentale des chefs traditionnels à Sekondi, il a déclaré que la région n'avait pas tiré profit de ses ressources naturelles comme la mer, l'or, la bauxite, le bois et d'autres métaux.

Swahili

Akizungumza katika kongamano maalumu kuhusu Tathmini ya Athari za Mazingira kwa ajili ya awamu ya kwanza ya kuendeleza Maeneo yenye mafuta ya Jubilee, lililoandaliwa na Mwakilishi wa mkoa huo wa Baraza la Machifu katika Sekondi, alisema eneo hilo halijafaidika na raslimali kama bahari, dhahabu na vito vingine, magogo na madini mengine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

De nouvelles personnes au sein du CCM sauront réformer le parti et le gouvernement, et l'opposition va mourir de mort naturelle

Swahili

Watu wapya ndani ya CCM watakijenga tena chama na serikali, na hapo upinzani utajifia kifo cha asili

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

Depuis que le président du Malawi, Bingu wa Mutharika, a déclaré Karonga zone de désastre naturel, les appels affluent pour aider les victimes dans la région des mines d'uranium.

Swahili

Tangu rais wa Malawi Bingu wa Mutharika aliposema rasmi kuwa Karonga ni sehemu ya janga la kitaifa, rai za kuwasaidia waliathirika zimekuwa zikimiminika ili kuwasaidia watu katika wilaya hii ya migodi ya madini ya uranium.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

Des associations, issues de la société civile, ont soutenu les villageois dans leurs négociations avec les responsables du Parc Naturel, par l'intermédiaire d'un projet, Lhuvuka , mais aucune avancée n'a pu être obtenue de Procana.

Swahili

Vikundi vya Jamii za Kiraia viliziunga mkono jamii katika majadiliano yao na maofisa wa Mbuga kwa kupitia mradi unaoitwa Lhuvuka, lakini inaonekana kuwa hapakutokea maendeleo yoyote kati yao na Procana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

Des villageois de la zone du Parc Naturel devaient être réinstallés sur des terres qui ont ensuite été concédées à Procana pour produire de la canne à sucre.

Swahili

Jamii zilikuwa zihamishwe kutoka kwenye eneo la mbuga kwenda kwenye eneo ambalo kabla ya hapo lilikuwa limetolewa kwa Procana kwa ajili ya kuzalisha miwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

Hassan m'interroge sur mon livre, "Nature cure" (Thérapie naturelle).

Swahili

Hassan ananiuliza kuhusu kitabu changu, "Tiba Asilia"; Ninamueleza kuwa ni kitabu kinachohusu safari ya mtaalamu wa mahusiano ya viumbe na mazingira kutoka kwenye ugonjwa wa mawazo. "watu huugua ugonjwa wa mawazo kwenye nchi za magharibi?"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

French

Je ne comprends pas si cette mesure du gouvernement est dictée par l'idée que la surpopulation est une des principales causes de la grande misère aux Philippines et que celle-ci devrait ralentir. (N.B.: Je soutiens toujours que les causes de la pauvreté dans le pays sont la magouille et la corruption ainsi que les abus et la destruction sans relâche de l'environnement et des ressources naturelles.)

Swahili

Haipo wazi kwangu iwapo hatua hii ya serikali inapata imetokana na fikra yake kuwa chanzo cha umasikini ni idadi kubwa sana ya watu nchini Ufilipino na hivyo ni lazima kasi ya kuzaliana ipunguzwe (N.B.: Siku zote huwa naamini kuwa msingi mkuu wa umasikini ni ubadhilifu na rushwa pia uharibifu wa mazingira usiodhibitiwa.)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

French

Kabeya Tshikuku, professeur à l'Institut de Recherches Économiques et Sociales (IRES) de l'université de Kinshasa, explique que la logique des affaires force les décideurs africains à opérer un choix difficile entre les valeurs cardinales de leur civilisation (la solidarité familiale, le bien-être des proches et des plate-formes naturelles de soutien) et l’administration des affaires, liée à une recherche de profit dépourvue de considération humaine.

Swahili

Kabeya Tshikuku, Profesa katika Taasisi ya Utafiti ya Kiuchumi na Kijamii (IRES) katika Chuo Kikuu cha Kinshasa, anaamini kuwa mantiki ya kibiashara ni kulazimisha watunga sera wa Afrika kufanya maamuzi magumu kati ya tunu za msingi wa ustaarabu wao (mshikamano wa kifamilia, ustawi wa marafiki zao nk) na utawala wa biashara, unaohusishwa na kutafuta faida tu bila ya kujali ubinadamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK