Ask Google

Results for africano translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

Africano

Swahili

Afrika

Last Update: 2011-05-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Oggi, all'incirca un africano su due vive in condizioni di miseria estrema.

Swahili

Takribani Mwanfrika mmoja kati ya wawili anaishi katika ufukara uliokithiri leo hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Il continente africano ha poche infrastrutture, la maggior parte delle quali sono in stato obsolescente.

Swahili

Kule kuwa na nyenzo duni, bara la Afrika imefurikwa na nyenzo zilizopitwa na wakati pamoja na utawala duni na butu wa raslimali zilizopo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Tali richieste sono state rivolte tramite documenti sottoscritti tra gli stessi donatori e il Paese africano.

Swahili

Madai haya yaliwekwa bayana katika mikataba kati ya nchi wafadhili na Msumbiji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Gli economisti prevedono che entro il 2015, 1/3 della popolazione povera del mondo risiederà nel continente africano.

Swahili

Wanauchumi wanakadiria kuwa 1/3 ya watu maskini duniani watakuwa wanaishi katika bara la Afrika ifikapo mwaka 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Nonostante alcuni progressi economici in molte nazioni africane, l'ineguaglianza sociale è ancor più marcata nel continente africano.

Swahili

Bila kujali maendeleo yasiyopingika katika nyingi ya nchi za kiAfrika, ukosefu wa usawa wa kijamii bado unaendelea kustua barani Afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

C'è di peggio, nessun Paese Africano di lingua francese compare nella Top 70 delle nazioni che investono nella ricerca.

Swahili

Inasikitisha kuwa, hakuna nchi yenye kuzungumza Kifaransa inayoonekana kwenye orodha ya nchi 70 zinazowekeza kwenye tafiti za kisayansi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Eppure, Julian Siddle spiega come il continente Africano possieda tutto quello di cui ha bisogno per diventare il futuro grande centro scentifico a livello globale :

Swahili

Juian Siddle, kwa upande wake anaeleza kwamba bara la Afrika lina kila kinachohitajika kuweza kuwa kituo kikuu cha sayansi duniani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Calestous Juma, professore di Prassi dello Sviluppo Internazionale all'Università di Harvard, aggiunge che il contesto del continente africano è differente :

Swahili

Calestous Juma, profesa wa Maendeleo ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, anaongeza kwamba mazingira ya bara la Afrika yako tofauti:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Ogni governo africano ha scelto, ottenendo più o meno successo, soluzioni più adatte alla cultura del proprio paese, pur riconoscendo tutti la necessità di alcuni standard minimi per la tutela delle fasce più fragili della popolazione.

Swahili

Kila serikali ya nchi za Afrika imechagua mfumo mahususi unaoendana na utamaduni wake, wenye viwango tafauti vya mafanikio, lakini zikitambua umuhimu wa kulinda angalau kwa kiwango cha chini, idadi kubwa ya watu wanaokabiliwa na vitisho mbalimbali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Sono africano, e se da una parte l'apertura delle frontiere potrebbe essere una buona idea, dall'altra vi sono degli ostacoli:

Swahili

Mimi ni muAfrika na wakati inaonekana kana kwamba wazo hili litakuwa zuri kuna madhara kadhaa:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

- L'ostinazione nel continuare a sfruttare i lavoratori mauritani da parte della SNIM, in una maniera che ricorda lo sfruttamento avvenuto in passato dei lavoratori africani nei campi di canna da zucchero di tutta l'Africa.

Swahili

-Msisitizo wa SNIM kuendelea kuwatumia wafanyakazi raia wa Mauritania kwa njia ambayo inaleta kumbukumbu za unyonyaji uliokuwa ukifanywa dhidi ya wafanyakazi Waafika katika mashamba ya miwa katika miongo iliyopita.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

A quanto pare lo sono i ribelli somali poiché stanno combattendo contro le truppe dell'Unione africana in Somalia che hanno bloccato la fondazione di uno Stato islamico ispirato alla Sharia. ....Quel che vedo sono i miei concittadini, esseri umani che non stavano facendo altro che guardare una partita di calcio e che sono stati uccisi e mutilati in nome di ideali di cui magari non sapevano neanche molto, in nome di situazioni su cui in fondo non hanno alcun controllo.

Swahili

Wanafurahi kwa sababu wanapambana na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somali, vikosi hivyo vimewazuria wapiganaji hao kuanzisha dola la Kiislamu lenye kuongozwa na Sharia ya Kiislamu. ….Ninachokiona ni raia wenzangu, binadamu ambao kikubwa walichokuwa wanakifanya ni kutazama mechi ya kandanda ambapo wengi wao wameuawa na wengine kujeruhiwa, wamefanyiwa hivyo kwa fikra na njozi ambazo pengine wala hawakuwahi kuziwazia, yaani vitendo ambavyo wala hawawezi kuvitawala au kuwa na ushawishi navyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

African Voices of Hope and Change è un'ulteriore prova del "potere del noi", uno impegno collettivo concentrato su luoghi e persone troppo spesso dimenticate dai media tradizionali, nonostante si preveda nei prossimi anni una diseguale ma promettente crescita anche economica in tutta l'Africa.

Swahili

Sauti ya Kiafrika ya Matumaini na Mabadiliko ni ushahidi zaidi wanguvu ya kufanya kazi pamoja', jitihada za pamoja zinazojielekeza kwa watu na mahali ambapo mara nyingi "husahauliwa" na vyombo vikuu vya habari duniani kote, ingawa ni kweli Afrika ni kubwa lakini bado kuna matumaini ya maendeleo katika miaka ijayo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

Alcuni mesi fa, dopo una rivelazione del sito Koaci.com, secondo la quale un gruppo di donne africane venivano torturate, queste sono state rimpatriate con successo dal Libano.

Swahili

Miezi michache iliyopita, mara baada ya Koaci.com kuweka bayana kuwa kundi moja la wanawake wa kiafrika kunyanyaswa walifanikiwa kurudishwa nchini mwao salama kutoka Lebanon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

Circa un terzo dei paesi della regione stanno conoscendo una crescita uguale o maggiore al 6%, ed è ormai routine veder figurare i paesi africani tra quelli con la crescita economica più sostenuta al mondo . fa notare che la povertà e le dsiuguaglianze permangono "a un livello inaccettabile, così come i progressi compiuti per la loro riduzione".

Swahili

Takribani theluthi ya nchi zilizo kwenye eneo hilo zina uchumi unaokua kwa asilimia 6 na zaidi, na nchi za Afrika hivi sasa zimekuwa kati ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi duniani inabainisha kuwa umasikini na hali ya kutokuwepo usawa vinabaki kuwa “juu isipokubalika wakati kasi ya kupungua pengo hilo ni dogo mno.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

Come chiaramente spiegato da alcuni commenti online, il dibattito in corso e l'inziativa su Twitter non è solo finaizzato a lanciare un "meme" ma una lotta per riscattare l'immagine del continente africano raccontandolo in modo nuovo.

Swahili

Ilhali hakuna anayepinga umuhimu wa kuonyesha uhalifu uliotendwa na Jeshi la Kony, lijulikanalo kama LRA, ripoti zifuatazo kutoka kwa raia wa kawaida zaeleza jinsi mjadala huu ni zaidi ya mawazo matupu yanayoenezwa kutumia mtandao, au meme kwa Kiingereza, lakini ni vita vya kukomboa mawazo na mtazamo wa walimwengu kuhusu bara zima.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

Come si legge nell'introduzione del libro: "Con l'inizio del nuovo millennio sembrava che il continente africano fosse stato essenzialmente cancellato dalla comunità internazionale... statistiche recenti suggeriscono che nove delle economie con il più rapido tasso di crescita al mondo siano nell'Africa Sub-Sahariana."

Swahili

Kama ilivyosemwa katika utangulizi wa kitabu-pepe kicho, "Katika mwanzo wa mileniam mpya, ilionekana kama bara la Afrika lilikuwa limeachwa na jumuiya ya kimataifa.... takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa nchi nane unaokua kwa kasi zaidi duniani uko katika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

Detto questo, c'è da ricordare che sono proprio alcuni paesi africani ad adottare il sistema delle frontiere aperte con i Paesi confinanti.

Swahili

Pamoja na kusema hivyo baadhi ya nchi barani Afrika zina mipaka iliyo wazi na baadhi ya majirani zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Italian

E proprio in risposta a questa negatività, molti hanno deciso di condividere su Twitter "le ragioni per cui amano l'Africa" con l'hashtag #WhatILoveAboutAfrica — inziaitiva che, promossa in particolare da Semhar Araia, aderente al Diaspora African Women Network (DAWNS), ha già raggiunto ampia eco internazionale.

Swahili

Ili kukabiliana na hali hii, watu wengi wameanza kuandika hadithi na kadalika katika Twitter kusema ni nini haswa wanapenda kuhusu Afrika, wakitumia maneno #WhatILoveAboutAfrica.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK