Ask Google

Results for caddero translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

Ma caddero nel disaccordo: alcuni credettero e altri negarono.

Swahili

Basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Appena disse «Sono io», indietreggiarono e caddero a terra

Swahili

Basi, Yesu alipowaambia: "Mimi ndiye", wakarudi nyuma, wakaanguka chini.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Italian

Non mormorate, come mormorarono alcuni di essi, e caddero vittime dello sterminatore

Swahili

Wala msinung'unike kama baadhi yao walivyonung'unika, wakaangamizwa na Mwangamizi!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Per fede caddero le mura di Gerico, dopo che ne avevano fatto il giro per sette giorni

Swahili

Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kwa muda wa siku saba.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Fece salire i suoi genitori sul suo trono e [tutti] caddero in prosternazione.

Swahili

Na akawapandisha wazazi wake kwenye kiti cha enzi. Na wote wakaporomoka kumsujudia.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Non abbandoniamoci alla fornicazione, come vi si abbandonarono alcuni di essi e ne caddero in un solo giorno ventitremila

Swahili

Wala tusizini kama baadhi yao walivyozini, wakaangamia siku moja watu ishirini na tatu elfu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Non mettiamo alla prova il Signore, come fecero alcuni di essi, e caddero vittime dei serpenti

Swahili

Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

E improvvisamente gli caddero dagli occhi come delle squame e ricuperò la vista; fu subito battezzato

Swahili

Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka macho ya Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

All'udire ciò, i discepoli caddero con la faccia a terra e furono presi da grande timore

Swahili

Wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

I maghi caddero in prosternazione e dissero: “Crediamo nel Signore di Aronne e di Mosè”.

Swahili

Basi wachawi wakaangushwa wanasujudu. Wakasema: Tumemuamini Mola Mlezi wa Harun na Musa!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Quelli che ricevettero la Scrittura caddero nella discordia, nemici gli uni degli altri, solo dopo aver avuto la scienza.

Swahili

Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

E chi furono coloro di cui si è disgustato per quarant'anni? Non furono quelli che avevano peccato e poi caddero cadaveri nel deserto

Swahili

Mungu aliwakasirikia akina nani kwa miaka arobaini? Aliwakasirikia wale waliotenda dhambi, maiti zao zikatapakaa kule jangwani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Comunque, se alcuni dei rami furono recisi, ma tu, benché fossi un olivo selvatico, fosti innestato fra loro e divenisti partecipe della radice della grassezza dell’olivo, non esultare sopra i rami. Se, però, esulti sopra di essi, non sei tu a portare la radice, ma la radice [porta] te. Tu dirai, dunque: “Dei rami furono recisi perché fossi innestato io”. Bene! Per [la loro] mancanza di fede furono recisi, ma per la fede tu stai in piedi. Cessa di avere alte idee, ma abbi timore. Poiché se Dio non risparmiò i rami naturali, nemmeno risparmierà te. Vedi, perciò, la benignità e la severità di Dio. Severità verso quelli che caddero, ma benignità di Dio verso di te, purché tu rimanga nella sua benignità; altrimenti, sarai potato anche tu. Essi pure, se non rimangono nella loro mancanza di fede, saranno innestati; poiché Dio li può innestare di nuovo. Poiché se tu fosti tagliato dall’olivo che per natura è selvatico e fosti innestato contro natura nell’olivo coltivato, tanto più questi che sono naturali saranno innestati nel loro proprio olivo!

Swahili

Hata hivyo, ikiwa matawi mengine yalikatwa lakini wewe, ujapokuwa mzeituni wa mwitu, ulipandikizwa katikati yake na kuwa mshiriki wa mzizi wa unono+ wa mzeituni, usiwe ukifurahi juu ya hayo matawi. Ingawa hivyo, ikiwa unafurahi juu yake, si wewe unayeuchukua mzizi, bali ni mzizi unaokuchukua wewe. Basi, wewe utasema: “Matawi yalikatwa ili mimi nipandikizwe.” Vema! Kwa sababu ya ukosefu wao wa imani yalikatwa, lakini wewe umesimama kwa imani. Uache kuwa na mawazo ya kujivuna, bali uogope. Kwa maana ikiwa Mungu hakuyaachilia matawi ya asili, vivyo hivyo hatakuacha wewe. Kwa hiyo, ona fadhili na ukali wa Mungu. Kuna ukali kuwaelekea wale walioanguka, lakini kuna fadhili za Mungu kukuelekea wewe, ila tu ukae katika fadhili zake; kama sivyo, wewe pia utakatwa. Wao pia, ikiwa hawatadumu katika ukosefu wao wa imani, watapandikizwa; kwa maana Mungu anaweza kuwapandikiza tena. Kwa maana ikiwa wewe ulikatwa kutoka kwenye mzeituni ulio wa asili ya mwituni na kupandikizwa kinyume cha asili katika mzeituni wa bustanini, si afadhali zaidi kwamba hawa walio wa asili wapandikizwe katika mzeituni wao wenyewe!

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Italian

Ed ecco gli si presentò un angelo del Signore e una luce sfolgorò nella cella. Egli toccò il fianco di Pietro, lo destò e disse: «Alzati, in fretta!». E le catene gli caddero dalle mani

Swahili

Ghafla, malaika wa Bwana akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha gereza. Malaika akamgusa akisema, "Amka upesi!" Mara ile minyororo ikaanguka kutoka katika mikono yake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK