Ask Google

Results for perquisizioni translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

Le perquisizioni sono successivamente state dichiarate incostituzionali in tribunale.

Swahili

Kukaguliwa kulithibitishwa na mahakama ya sheria kuwa kinyume na katiba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Ella ha spiegato che la sua decisione è stata dettata dal coinvolgimento della Oronoz Rodríguez in un caso controverso, nel quale, in qualità di direttore della Divisione Legale del Municipio di San Juan, aveva difeso la decisione del sindaco di imporre perquisizioni nei confronti di tutti quelli che avrebbe partecipato all'annuale Festival di San Sebastian.

Swahili

Santiago alieleza kuwa uamuzi wake ulizingatia uhusika wa Oronoz Rodríguez katika kashfa za siku za nyuma, ambapo inadaiwa akiwa mkurugenzi wa Idara ya Sheria ya Manispaa ya San Juan alitetea uamuzi wa Meya wa kuruhusu kukaguliwa kwa kila mtu ambaye angehudhuria Sherehe za Mtaa wa San Sebastian.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

Sono stata sottoposta a una perquisizione disumana prima di essere trasferita con altre prigioniere in una cella oscura...

Swahili

Nilipitia kwenye ukaguzi ambao haukuwa wa kibinadamu kabisa kabla ya kupelekwa kwenye sero iliyokuwa na giza ili kuungana na waliokuwemo humo….

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK