Results for pubblicazione translation from Italian to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Italian

Swahili

Info

Italian

pubblicazione

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

sembra che il motivo ufficiale per la detenzione di 30 giorni del giornalista sia una storia che ha scritto cinque anni fa, per una pubblicazione che non esiste più.

Swahili

inaonekana kwamba sababu rasmi ya kutiwa kizuizini kwa kezarovski kwa siku 30 ni habari aliyoiandika miaka mitano iliyopita kwa ajili ya jarida ambalo halipo tena.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

questa pubblicazione fa parte della nostra serie –“abbiamo i nomi”–con cui ci si aspetta di mettere in evidenza ogni blogger che si trova attualmente in carcere.

Swahili

makala hii ni mfululizo wa makala zetu za – “wanayo majina” – iliyo na madhumuni ya kuwazungumzia wanablogu ambao hadi sasa wapo gerezani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

il blocco di twitter, che sembrerebbe coinvolgere circa 10 milioni di utenti in turchia, è stato messo in atto a seguito della pubblicazione di documenti che proverebbero episodi di corruzione nella cerchia del primo ministro recep tayyip erdogan.

Swahili

kufungiwa kwa mtandao wa twita, kulikoripotiwa kuathiri watu zaidi ya milioni 10 wanaotumia mtandao huo nchini uturuki, hali iliyofuatia kuchapishwa kwa nyaraka zinazosemekana 'kufunua' ufisadi wa maswahiba wa karibu wa waziri mkuu recep tayyip erdogan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ad esempio, sono stati accusati di aver adottato una posizione debole anche per il caso di ghazi beji e jabeur mejir , che l’anno scorso erano stati condannati a sette anni e mezzo di prigione per la pubblicazione online di contenuti ritenuti offensivi per l’islam.

Swahili

kwa mfano, pia walituhumiwa kwa kuchagua msimamo dhaifu kwenye kesi ya ghazi beji na jabeur mejir, ambao walipatikana na hatia na kufungwa kwa miaka saba na nusu jela mwaka jana, kwa uchapishaji wa maudhui mtandaoni yaliyoonyesha kukashifu uislamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,720,409,253 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK