Results for questioni translation from Italian to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Italian

Swahili

Info

Italian

men che meno per questioni egoistiche o di machismo.

Swahili

kuna sababu nyingi za msingi zinazozingatiwa katika kutekeleza mauaji haya ya heshima.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

le mie idee nascono da questioni attuali, specialmente politiche.

Swahili

mawazo yangu hutokana na masuala yanayotokea, hususani siasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

le questioni sulle quali mi avete interpellato sono così stabilite”.

Swahili

na ama mwengine atasulubiwa, na ndege watamla kichwa chake. imekwisha katwa hukumu ya hilo jambo mlilo kuwa mkiuliza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

che conosci a perfezione tutte le usanze e questioni riguardanti i giudei. perciò ti prego di ascoltarmi con pazienza

Swahili

hasa kwa vile wewe mwenyewe ni mtaalamu wa desturi za wayahudi na migogoro yao, ninakuomba basi unisikilize kwa uvumilivu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

hanno rischiato; le loro erano attività ardite, dopo tutto riguardavano questioni di vita o di morte.

Swahili

walihatarisha maisha yao; mapambano yao yalikuwa ni uthubutu, ukizingatia ukweli kuwa walikuwa wanashughulika na masuala ya kufa na kupona.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

avevano solo con lui alcune questioni relative la loro particolare religione e riguardanti un certo gesù, morto, che paolo sosteneva essere ancora in vita

Swahili

ila tu walikuwa na mabishano kadhaa pamoja naye kuhusu dini yao na kuhusu mtu mmoja aitwaye yesu ambaye alikufa, lakini paulo anashikilia kwamba yu hai.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

ho trovato che lo si accusava per questioni relative alla loro legge, ma che in realtà non c'erano a suo carico imputazioni meritevoli di morte o di prigionia

Swahili

niligundua kwamba mashtaka yenyewe yalihusu ubishi juu ya sehemu kadha wa kadha za sheria yao na hivyo sikuona kwamba amefanya chochote kinachostahili auawe au afungwe gerezani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

il manifesto elettorale si incentra su questioni quali il lavoro, dal momento che il movimento sottolinea come il tasso di disoccupazione giovanile fra i disabili superi il 60%, con conseguenze anche sulla loro autonomia ed indipendenza.

Swahili

jukwaa la uchaguzi linajumuisha masuala kama ajira, kwa vile wao wanathibitisha kwamba vijana wenye ulemavu huwa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kinachozidi 60%, na hivyo kuzuia kujitawala kwao na uhuru.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

l'idea di usare le frontiere aperte per ridurre le inuguaglianze sociali nel mondo implica che ridurre la povertà mondiale sarebbe la più grande priorità al mondo, e quindi più importante di altre questioni, come la sicurezza e gli interessi nazionali di ogni paese.

Swahili

dhana hii ya kutumia kufungua mipaka ili kupunguza ukosefu wa usawa kijamii duniani inamaanisha kwamba kupunguza umaskini duniani kungekuwa ndiyo kipaumbele cha juu zaidi duniani. kingekuja kabla ya masuala mengine muhimu kama vile usalama wa taifa na maslahi ya taifa ya nchi yoyote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Italian

@pcayuqueo: e' difficile parlare della questione dei mapuche quando ciç che infiamma i dibattiti sono gli scontri con la polizia.

Swahili

@pcayuqueo: n ni vigumu kuongelea chimbuko la jambo hili la mapuche wakati kinachochochea mijadala ni matukio ya muda mrefu ya polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,919,464,444 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK