Results for adventu translation from Latin to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Latin

Swahili

Info

Latin

adventu

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Latin

Swahili

Info

Latin

sed qui consolatur humiles consolatus est nos deus in adventu tit

Swahili

lakini mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake tito.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

unusquisque autem in suo ordine primitiae christus deinde hii qui sunt christi in adventu eiu

Swahili

lakini kila mmoja kwa mpango wake: kristo kwanza, halafu wale walio wake kristo wakati kristo atakapokuja.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

et nunc filioli manete in eo ut cum apparuerit habeamus fiduciam et non confundamur ab eo in adventu eiu

Swahili

naam, watoto, kaeni ndani yake kusudi wakati atakapotokea tuwe hodari bila kuwa na sababu ya kujificha kwa aibu siku ya kuja kwake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

quae est enim nostra spes aut gaudium aut corona gloriae nonne vos ante dominum nostrum iesum estis in adventu eiu

Swahili

je, tutakaposimama mbele ya bwana yesu wakati atakapokuja, fahari ya ushindi wetu itakuwa nini? itakuwa ni ninyi wenyewe; ninyi ndio tumaini letu na furaha yetu.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ad confirmanda corda vestra sine querella in sanctitate ante deum et patrem nostrum in adventu domini nostri iesu cum omnibus sanctis eius ame

Swahili

hivyo ataiimarisha mioyo yenu, nanyi mtakuwa wakamilifu na watakatifu mbele ya mungu na baba yetu wakati bwana wetu yesu atakapokuja pamoja na wote walio wake.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

ipse autem deus pacis sanctificet vos per omnia et integer spiritus vester et anima et corpus sine querella in adventu domini nostri iesu christi servetu

Swahili

mungu anayetupatia amani awafanye ninyi watakatifu kwa kila namna na kuzilinda nafsi zenu--roho, mioyo na miili yenu--mbali na hatia yoyote wakati wa kuja kwake bwana wetu yesu kristo.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Latin

non solum autem in adventu eius sed etiam in solacio quo consolatus est in vobis referens nobis vestrum desiderium vestrum fletum vestram aemulationem pro me ita ut magis gaudere

Swahili

si tu kwa kule kuja kwake tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. jambo hili linanifurahisha sana.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,724,565,853 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK