From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
emendatum ergo illum dimitta
hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nolite ergo effici participes eoru
basi, msishirikiane nao.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
facite ergo fructum dignum paenitentia
onyesheni basi kwa matendo, kwamba mmetubu kweli.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ab illo ergo die cogitaverunt ut interficerent eu
basi, tangu siku hiyo viongozi wa wayahudi walifanya mipango ya kumwua yesu.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
dices ergo fracti sunt rami ut ego insera
lakini utasema: "matawi yalikatwa kusudi mimi nipandikizwe mahali pake."
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
abierunt ergo iterum ad semet ipsos discipul
basi, hao wanafunzi wakarudi nyumbani.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
cum ergo audisset pilatus hunc sermonem magis timui
pilato aliposikia maneno hayo akazidi kuogopa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
aspiciebant ergo ad invicem discipuli haesitantes de quo dicere
wanafunzi wakatazama wasiweze kabisa kujua anasema nani.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
convenientibus ergo vobis in unum iam non est dominicam cenam manducar
kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula chakula cha bwana!
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ait illis quomodo ergo david in spiritu vocat eum dominum dicen
yesu akawaambia, "basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya roho mtakatifu daudi anamwita yeye bwana? maana alisema:
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
cum venissent ergo qui circa undecimam horam venerant acceperunt singulos denario
basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja dinari moja.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
quomodo ergo reputata est in circumcisione an in praeputio non in circumcisione sed in praeputi
je, abrahamu alikubaliwa kabla ya kutahiriwa ama baada ya kutahiriwa? kabla ya kutahiriwa, na si baada ya kutahiriwa.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sive enim vivimus domino vivimus sive morimur domino morimur sive ergo vivimus sive morimur domini sumu
maana tukiishi twaishi kwa ajili ya bwana; tukifa, tunakufa kwa ajili ya bwana. basi, kama tukiishi au tukifa, sisi ni mali yake bwana.
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: