Results for honestamente translation from Spanish to Swahili

Spanish

Translate

honestamente

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

piensen sobre esto honestamente.

Swahili

hebu tafakari hili kwa uwazi na ukweli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

¡honestamente, el choque cultural me ha golpeado fuerte!

Swahili

kwa kusema ukweli, tofauti ya tamaduni imenistusha mno!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

a fin de que os conduzcáis honestamente para con los de afuera y que no tengáis necesidad de nada

Swahili

kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

honestamente, si hay dinero falso circulando en la economía habríamos visto la inflación triplicada.

Swahili

kwa hakika kama kungekwa na noti bandia kwenye mzunguko wa uchumi tungeshaona mfumuko wa bei ukipaa mara tatu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

pero tampoco está en discusión el hecho de que el movimiento de protesta se dedicó honestamente a ganar estas elecciones.

Swahili

lakini pia hakuna ubishi kuwa wanapinzani waijiandaa kushinda uchaguzi huu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

porque sienten que su gobierno no tiene nada que ver con ellos y, honestamente, el gobierno no es un cuerpo electo.

Swahili

ni kwa sababu hawaoni lolote ambalo serikali inaweza kuwafanyia, na kwa hakika, serikali siyo chombo kilichochaguliwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

esto digo para vuestro provecho; no para poneros restricción, sino para que viváis honestamente, atendiendo al señor sin impedimento

Swahili

nawaambieni haya kwa faida yenu, na si kwa kuwawekeeni kizuio. nataka tu muwe na mpango unaofaa, mpate kumtumikia bwana kwa moyo na nia moja.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

había votado por primera vez, y honestamente la primera cosa que cruzó por mi cabeza fue, "no fue tan malo, o si".

Swahili

nilipiga kura kwa mara ya kwanza, na kwa kweli jambo la kwanza kupita mawazoni mwangu lilikuwa, "halikuwa jambo baya, au siyo".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

la mayoría de quienes toman el test dicen "en un rato regreso", o más honestamente, "no quiero saber mi condición, porque no quiero preocuparme".

Swahili

wengi wao wanaochagua kutokupima afya zao, wanadai ‘watakuja siku nyingine,’ au kwa ukweli zaidi ‘sipendi kujua hali yangu, kwa sababu sitaki kuhofu.’

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,919,541,548 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK