Results for ocurrieron translation from Spanish to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Spanish

Swahili

Info

Spanish

ocurrieron

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

los acontecimientos más importantes ocurrieron el 7 de abril en biskek.

Swahili

matukio muhimu zaidi yalitokea tarehe 7 aprili huko bishkek.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

el siguiente vídeo proporciona una recapitulación de los eventos que ocurrieron a mediados de enero:

Swahili

video ifuatayo inatoa muhtasari wa matukio katika juma lililopita:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

los miembros de la policía de la comisaría de wanaheda rápidamente intervinieron y no ocurrieron más incidentes esa tarde.

Swahili

wanachama wa polisi wa wanaheda waliwahi haraka kuingilia na hakuna tukio jingine lilitokea jioni hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

frente a un panorama tan sombrío, decidimos revivir uno de esos raros momentos inspiradores que ocurrieron en siria en el último año.

Swahili

hali ikiwa bado ni tete, hebu turejee mojawapo wa matukio haya nadra sana ya mwaka uliopita iliyowahi kutokea nchini syria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando ocurrieron los disturbios en el distrito de meikhtilar en myanmar, los medios (globales) y las organizaciones internacionales (como la) onu, human rights watch (informaron) al respecto y algunas hasta exageraron (la situación), calificándola de limpieza étnica, genocidio, que a los musulmanes en myanmar los están masacrando brutalmente, o cosas así... pero ¿por qué están callados como algo normal con la actual masacre en malasia contra budistas de myanmar?

Swahili

wakati vurugu zilipotokea huko katika mji wa meikhtilar nchini myanmar, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika ya kimataifa kama vile umoja wa kimataifa, shirika la haki za binadamu yaliripoti matukio haya na pia baadhi yao walipotosha hali halisi ya mambo, wengine wakisema ni mpango wa kufutilia mbali makabila fulani, mauaji ya halaiki, waislamu ya myanmar wanauawa kikatili na mambo vyanayofanana na hayo..... lakini ni kwa nini kumekuwa na ukimya uliopitiliza kuhusiana na mauaji ya kikatili yaliyotokea nchini malasia yanayowalenga wabudha wa myanmar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,715,337,184 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK