Results for ordenado translation from Spanish to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Spanish

Swahili

Info

Spanish

¿por qué nos has ordenado combatir?

Swahili

na wakasema: mola mlezi wetu!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

no ha cumplido aún lo que Él le ha ordenado.

Swahili

hajamaliza aliyo muamuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

se me ha ordenado que haga justicia entre vosotros.

Swahili

na nimeamrishwa nifanye uadilifu baina yenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

Él ha ordenado que no sirváis a nadie sino a Él.

Swahili

yeye ameamrisha msimuabudu yeyote isipo kuwa yeye tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

esto os ha ordenado Él. quizás, así temáis a alá».

Swahili

haya amekuusieni ili mpate kuchamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hemos ordenado al hombre que se porte bien con sus padres.

Swahili

na tumemuusia mwanaadamu awatendee wema wazazi wake wawili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

se me ha ordenado esto y soy el primero en someterse a Él»

Swahili

na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa waislamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

¡sed fieles a la alianza con alá! esto os ha ordenado Él.

Swahili

na ahadi ya mwenyezi mungu itekelezeni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

diciendo: Ésta es la sangre del pacto, el cual dios os ha ordenado

Swahili

mose alisema: "hii ni damu inayothibitisha agano mliloamriwa na mungu mlitii."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

sigue la vía recta, como se te ha ordenado, y no sigas sus pasiones.

Swahili

nawe simama sawa sawa kama ulivyo amrishwa, wala usiyafuate matamanio yao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

me ha bendecido dondequiera que me encuentre y me ha ordenado la azalá y el azaque mientras viva,

Swahili

na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. na ameniusia sala na zaka maadamu ni hai,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

dijo: «¿qué es lo que te ha impedido prosternarte cuando yo te lo he ordenado?»

Swahili

mwenyezi mungu akasema: nini kilicho kuzuia kumsujudia nilipo kuamrisha?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

quieren recurrir al arbitraje de los taguts, a pesar de que se les ha ordenado no creer en ellos.

Swahili

wanataka wakahukumiwe kwa njia ya upotofu, na hali wameamrishwa wakatae hayo!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

quienes mantienen los lazos que alá ha ordenado mantener y tienen miedo de su señor y de que les vaya mal al ajustar las cuentas,

Swahili

na wale ambao huyaunga aliyo amrisha mwenyezi mungu yaungwe, na wanaikhofu hisabu mbaya.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hemos ordenado a quienes, antes de vosotros, recibieron la escritura, y a vosotros también, el temor de alá.

Swahili

na kwa hakika tuliwausia walio pewa kitabu kabla yenu, na nyinyi pia, kwamba mumche mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

no les he dicho más que lo que tú me has ordenado: '¡servid a alá, mi señor y señor vuestro!'

Swahili

sikuwaambia lolote ila uliyo niamrisha, nayo ni: muabuduni mwenyezi mungu, mola wangu mlezi na mola wenu mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando entraron como les había ordenado su padre, esto no les valió de nada frente a alá. era sólo una necesidad del alma de jacob, que él satisfizo.

Swahili

na walipo ingia kama alivyo waamrisha baba yao, haikuwafaa kitu kwa mwenyezi mungu, isipo kuwa ni haja tu iliyo kuwa katika nafsi ya yaa'qub aliitimiza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

cuando cometen una deshonestidad, dicen: «encontramos a nuestros padres haciendo lo mismo y alá nos lo ha ordenado».

Swahili

na wanapo fanya mambo machafu husema: tumewakuta nayo baba zetu, na mwenyezi mungu ametuamrisha hayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Spanish

hace dos meses, bartolomeu capita del movimiento nacional de cabinda escribió en el sitio web de la organización red paz y desarrollo colaborativo que desde angola pudieron haber ordenado la muerte de milocas pereira:

Swahili

miezi miwili iliyopita, bartolomeu capita wa taasisis ya national movement of cabinda (vuguvugu la kitaifa la cabinda) aliandika katika tovuti yao peace & collaborative development network kwamba milocas pereira inawezekana iliamuriwa auawe nchini angola:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Spanish

en una declaración oficial, el presidente -que es la máxima autoridad y comandante en jefe del ejército de guatemala — indicó que ha ordenado una investigación de la violencia y las muertes del 4 de octubre.

Swahili

katika tamko rasmi la serikali, rais ambaye ndiye mwenye mamlaka ya mwisho na aliye amiri jeshi mkuu wa jeshi la guatemala alitanabaisha kuwa ameshatoa amri ya kufanyika kwa uchunguzi kuhusiana na uonevu na mauaji toka octoba 4.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,029,217 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK