From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa maana mungu hakutupa roho wa kutufanya tuwe waoga, bali alitupa roho wa kutujalia nguvu, upendo na nidhamu.
لان الله لم يعطنا روح الفشل بل روح القوة والمحبة والنصح
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye alijitoa mwenyewe kwa ajili yetu ili atukomboe kutoka katika uovu wote na kutufanya watu safi walio wake yeye mwenyewe, watu walio na hamu ya kutenda mema.
الذي بذل نفسه لاجلنا لكي يفدينا من كل اثم ويطهر لنفسه شعبا خاصّا غيورا في اعمال حسنة.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ingawa kulikuwa na ndugu wengine wa uongo waliotaka atahiriwe. watu hawa walijiingiza kwa ujanja na kupeleleza uhuru wetu tulio nao katika kuungana na kristo yesu, ili wapate kutufanya watumwa.
ولكن بسبب الاخوة الكذبة المدخلين خفية الذين دخلوا اختلاسا ليتجسسوا حريتنا التي لنا في المسيح كي يستعبدونا.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: