From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha ninyi kwa barua zangu.
لئلا اظهر كاني اخيفكم بالرسائل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ninayo bado mengi ya kukwambia, lakini sipendi kuyaandika kwa kalamu na wino.
وكان لي كثير لاكتبه لكنني لست اريد ان اكتب اليك بحبر وقلم
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
sipendi kupita kwenu harakaharaka na kuendelea na safari. natumaini kukaa kwenu kwa kitambo fulani, bwana akiniruhusu.
لاني لست اريد الآن ان اراكم في العبور لاني ارجو ان امكث عندكم زمانا ان أذن الرب.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa kuna mtu aliyemhuzunisha mwingine, hakunihuzunisha mimi--ila amewahuzunisha ninyi nyote, na sipendi kuwa mkali zaidi.
ولكن ان كان احد قد احزن فانه لم يحزني بل احزن جميعكم بعض الحزن لكي لا اثقل.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
sipendi kuikataa neema ya mungu. kama mtu huweza kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa njia ya sheria, basi, kristo alikufa bure!
لست ابطل نعمة الله. لانه ان كان بالناموس بر فالمسيح اذا مات بلا سبب
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini sitafanya chochote bila kibali chako. sipendi kukulazimisha unisaidie, kwani wema wako unapaswa kutokana na hiari yako wewe mwenyewe na si kwa kulazimika.
ولكن بدون رأيك لم ارد ان افعل شيئا لكي لا يكون خيرك كانه على سبيل الاضطرار بل على سبيل الاختيار.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hata kidogo! ninachosema ni kwamba tambiko wanazotoa watu wasiomjua mungu wanawatolea pepo, sio mungu. sipendi kamwe ninyi muwe na ushirika na pepo.
بل ان ما يذبحه الامم فانما يذبحونه للشياطين لا للّه. فلست اريد ان تكونوا انتم شركاء الشياطين.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kama ningetaka kujivuna singekuwa mpumbavu hata kidogo, maana ningekuwa nasema ukweli mtupu. lakini sitajivuna; sipendi mtu anifikirie zaidi ya vile anavyoona na kusikia kutoka kwangu.
فاني ان اردت ان افتخر لا اكون غبيا لاني اقول الحق. ولكني اتحاشى لئلا يظن احد من جهتي فوق ما يراني او يسمع مني.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, yesu aliwaita wanafunzi wake, akasema, "nawaonea watu hawa huruma kwa sababu kwa siku tatu wamekuwa nami, wala hawana chakula. sipendi kuwaacha waende bila kula wasije wakazimia njiani."
واما يسوع فدعا تلاميذه وقال اني اشفق على الجمع لان الآن لهم ثلاثة ايام يمكثون معي وليس لهم ما ياكلون. ولست اريد ان اصرفهم صائمين لئلا يخوّروا في الطريق.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting