Results for toka translation from Swahili to Arabic

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Arabic

Info

Swahili

basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini.

Arabic

وانشق حجاب الهيكل الى اثنين من فوق الى اسفل.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, kama vile umeme uangazavyo toka mashariki hadi magharibi, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake mwana wa mtu.

Arabic

لانه كما ان البرق يخرج من المشارق ويظهر الى المغارب هكذا يكون ايضا مجيء ابن الانسان.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokwisha sema hayo, akaita kwa sauti kubwa: "lazaro! toka nje!"

Arabic

ولما قال هذا صرخ بصوت عظيم لعازر هلم خارجا.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini wao waliendelea na safari toka pisga hadi mjini antiokia pisidia. siku ya sabato waliingia ndani ya sunagogi, wakakaa.

Arabic

‎واما هم فجازوا من برجة وأتوا الى انطاكية بيسيدية ودخلوا المجمع يوم السبت وجلسوا‎.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye atawatuma malaika wake wenye tarumbeta la kuvuma sana, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, toka mwisho huu wa mbingu hadi mwisho huu.

Arabic

فيرسل ملائكته ببوق عظيم الصوت فيجمعون مختاريه من الاربع الرياح من اقصاء السموات الى اقصائها.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa maria toka mji wa magdala, salome, na maria mama wa kina yakobo mdogo na yose.

Arabic

وكانت ايضا نساء ينظرن من بعيد بينهنّ مريم المجدلية ومريم ام يعقوب الصغير ويوسي وسالومة.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya habari kupokelewa katika lugha ya kiingereza kutoka kwa waandishi ambao wako kwenye ajira ya muda, inatafsiriwa katika lugha za ki-urdu na katibis - wataalamu wa mwandiko, wanaoenzi mwandiko wa toka zama za kale wa ki-urdu, wanaindika habari yote kwa mkono.

Arabic

بعد أن تصل الاخبار باللغة الإنجليزية من مراسليها العاملين بالدوام الجزئي، تترجم للغة الأردو ويقوم الخطاطون المتفانون لفن خط الأردو القديم – بكتابة كامل الاخبارعلى الصحيفة.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,944,546,234 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK