Results for akamwuliza translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

nikodemo akamwuliza, "mambo haya yanawezekanaje?"

Chinese (Simplified)

尼 哥 底 母 問 他 說 、 怎 能 有 這 事 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza yesu kwa kumjaribu,

Chinese (Simplified)

內 中 有 一 個 人 是 律 法 師 、 要 試 探 耶 穌 、 就 問 他 說

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: kuna nini?

Chinese (Simplified)

便 叫 過 一 個 僕 人 來 、 問 是 甚 麼 事

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kuhani akamwuliza yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.

Chinese (Simplified)

大 祭 司 就 以 耶 穌 的 門 徒 和 他 的 教 訓 盤 問 他

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kuhani mkuu akamwuliza, "je, mambo haya ni kweli?"

Chinese (Simplified)

大 祭 司 就 說 、 這 些 事 果 然 有 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, akamwuliza maswali mengi kwa muda mrefu, lakini yesu hakumjibu neno.

Chinese (Simplified)

於 是 問 他 許 多 的 話 . 耶 穌 卻 一 言 不 答

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye petro akamwuliza, "na sisi je? tumeacha vitu vyote tukakufuata!"

Chinese (Simplified)

彼 得 說 、 看 哪 、 我 們 巳 經 撇 下 自 己 所 有 的 跟 從 你 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivyo pilato akamwuliza, "je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?"

Chinese (Simplified)

彼 拉 多 就 對 他 說 、 他 們 作 見 證 、 告 你 這 麼 多 的 事 、 你 沒 有 聽 見 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na yesu, akamwuliza, "bwana, ni nani?"

Chinese (Simplified)

那 門 徒 便 就 勢 靠 著 耶 穌 的 胸 膛 、 問 他 說 、 主 阿 、 是 誰 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini yeye akitaka kujihakikishia kuwa mwema akamwuliza yesu, "na jirani yangu ni nani?"

Chinese (Simplified)

那 人 要 顯 明 自 己 有 理 、 就 對 耶 穌 說 、 誰 是 我 的 鄰 舍 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mfalme akamwuliza, rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la arusi? lakini yeye akakaa kimya.

Chinese (Simplified)

就 對 他 說 、 朋 友 、 你 到 這 裡 來 、 怎 麼 不 穿 禮 服 呢 。 那 人 無 言 可 答

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipoinuka akamwuliza huyo mwanamke, "wako wapi wale watu? je, hakuna hata mmoja aliyekuhukumu?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 就 直 起 腰 來 、 對 他 說 、 婦 人 、 那 些 人 在 那 裡 呢 . 沒 有 人 定 你 的 罪 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, akaingia tena ndani ya ikulu, akamwuliza yesu, "umetoka wapi wewe?" lakini yesu hakumjibu neno.

Chinese (Simplified)

又 進 衙 門 、 對 耶 穌 說 、 你 是 那 裡 來 的 . 耶 穌 卻 不 回 答

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mkuu wa jeshi alimshika huyo kijana mkono, akampeleka mahali pa faragha, akamwuliza, "una nini cha kuniambia?"

Chinese (Simplified)

千 夫 長 就 拉 著 他 的 手 、 走 到 一 旁 、 私 下 問 他 說 、 你 有 甚 麼 事 告 訴 我 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye mwalimu mmoja wa sheria alisimama akamwuliza akitaka kumtega, "mwalimu, nifanye nini ili nipate uzima wa milele?"

Chinese (Simplified)

有 一 個 律 法 師 、 起 來 試 探 耶 穌 說 、 夫 子 、 我 該 作 甚 麼 纔 可 以 承 受 永 生

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha petro akamwendea yesu, akamwuliza, "je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? mara saba?"

Chinese (Simplified)

那 時 彼 得 進 前 來 、 對 耶 穌 說 、 主 阿 、 我 弟 兄 得 罪 我 、 我 當 饒 恕 他 幾 次 呢 。 到 七 次 可 以 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, kuhani mkuu akasimama katikati yao, akamwuliza yesu, "je, hujibu neno? watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?"

Chinese (Simplified)

大 祭 司 起 來 、 站 在 中 間 、 問 耶 穌 說 、 你 甚 麼 都 不 回 答 麼 . 這 些 人 作 見 證 告 你 的 是 甚 麼 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akamwuliza, "jina lako nani?" naye akajibu, "jina langu ni jeshi, maana sisi tu wengi."

Chinese (Simplified)

耶 穌 問 他 說 、 你 名 叫 甚 麼 . 回 答 說 、 我 名 叫 群 、 因 為 我 們 多 的 緣 故

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, petro akamwuliza, "anania, mbona shetani ameuingia moyo wako na kukufanya umdanganye roho mtakatifu kwa kujiwekea sehemu ya fedha ulizopata kutokana na lile shamba?

Chinese (Simplified)

彼 得 說 、 亞 拿 尼 亞 為 甚 麼 撒 但 充 滿 了 你 的 心 、 叫 你 欺 哄 聖 靈 、 把 田 地 的 價 銀 私 自 留 下 幾 分 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

huyo msichana mngoja mlango akamwuliza petro, "je, nawe pia ni mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?" petro akamwambia, "si mimi!"

Chinese (Simplified)

那 看 門 的 使 女 對 彼 得 說 、 你 不 也 是 這 人 的 門 徒 麼 . 他 說 、 我 不 是

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,949,581,640 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK