Results for akawauliza translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

yesu akawauliza, "mnajadiliana nini nao?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 問 他 們 說 、 你 們 和 他 們 辯 論 的 是 甚 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akawauliza, "mnataka niwafanyie nini?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 說 、 要 我 給 你 們 作 甚 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akawauliza, "sura na chapa hii ni ya nani?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 說 、 這 像 和 這 號 是 誰 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pilato akawauliza, "je, mwataka niwafungulieni mfalme wa wayahudi?"

Chinese (Simplified)

彼 拉 多 說 、 你 們 要 我 釋 放 猶 太 人 的 王 給 你 們 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu alitambua mawazo yao, akawauliza, "mnawaza nini mioyoni mwenu?

Chinese (Simplified)

耶 穌 知 道 他 們 所 議 論 的 、 就 說 、 你 們 心 裡 議 論 的 是 甚 麼 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akawauliza tena, "mnamtafuta nani?" wakamjibu, "yesu wa nazareti!"

Chinese (Simplified)

他 又 問 他 們 說 、 你 們 找 誰 。 他 們 說 、 找 拿 撒 勒 人 耶 穌

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akawauliza, "mnayo mikate mingapi?" nao wakamjibu, "saba."

Chinese (Simplified)

耶 穌 問 他 們 說 、 你 們 有 多 少 餅 . 他 們 說 、 七 個

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

halafu aliwaongoza nje, akawauliza, "waheshimiwa, nifanye nini nipate kuokoka?"

Chinese (Simplified)

又 領 他 們 出 來 、 說 、 二 位 先 生 、 我 當 怎 樣 行 纔 可 以 得 救

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akawauliza wale kumi na wawili, "je, nanyi pia mwataka kwenda zenu?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 就 對 那 十 二 個 門 徒 說 、 你 們 也 要 去 麼

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pilato akawauliza tena, "basi, sasa mwataka nifanye nini na mtu huyu mnayemwita mfalme wa wayahudi?"

Chinese (Simplified)

彼 拉 多 又 說 、 那 麼 樣 你 們 所 稱 為 猶 太 人 的 王 、 我 怎 麼 辦 他 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akawauliza, "mnazungumza nini huku mnatembea?" nao wakasimama kimya, nyuso zao wamezikunja kwa huzuni.

Chinese (Simplified)

耶 穌 對 他 們 說 、 你 們 走 路 彼 此 談 論 的 是 甚 麼 事 呢 . 他 們 就 站 住 、 臉 上 帶 著 愁 容

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akawauliza walimu wa sheria na mafarisayo, "je, ni halali au la kumponya mtu siku ya sabato?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 對 律 法 師 和 法 利 賽 人 說 、 安 息 日 治 病 、 可 以 不 可 以

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mkuu wa mkoa akawauliza, "ni yupi kati ya hawa wawili mnayetaka nimfungue?" wakamjibu, "baraba!"

Chinese (Simplified)

巡 撫 對 眾 人 說 、 這 兩 個 人 、 你 們 要 我 釋 放 那 一 個 給 你 們 呢 。 他 們 說 、 巴 拉 巴

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akawauliza, "je, ninyi hamwelewi mfano huu? mtawezaje basi, kuelewa mfano wowote?

Chinese (Simplified)

又 對 他 們 說 、 你 們 不 明 白 這 比 喻 麼 . 這 樣 怎 能 明 白 一 切 的 比 喻 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakiwa bado katika hali ya kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa wanastaajabu, akawauliza, "mnacho chakula chochote hapa?"

Chinese (Simplified)

他 們 正 喜 得 不 敢 信 、 並 且 希 奇 、 耶 穌 就 說 、 你 們 這 裡 有 甚 麼 喫 的 沒 有

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivyo, watu walipokusanyika pamoja, pilato akawauliza, "mwataka nimfungue yupi kati ya wawili hawa, baraba ama yesu aitwae kristo?"

Chinese (Simplified)

眾 人 聚 集 的 時 候 、 彼 拉 多 就 對 他 們 說 、 你 們 要 我 釋 放 那 一 個 給 你 們 . 是 巴 拉 巴 呢 、 是 稱 為 基 督 的 耶 穌 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini pilato akawauliza, "kwa nini! amefanya kosa gani?" lakini wao wakazidi kupaaza sauti, "msulubishe!"

Chinese (Simplified)

彼 拉 多 說 、 為 什 麼 呢 、 他 作 了 甚 麼 惡 事 呢 。 他 們 便 極 力 的 喊 著 說 、 把 他 釘 十 字 架

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akawauliza, "vijana, hamjapata samaki wowote sio?" wao wakamjibu, "la! hatujapata kitu."

Chinese (Simplified)

耶 穌 就 對 他 們 說 、 小 子 、 你 們 有 喫 的 沒 有 。 他 們 回 答 說 、 沒 有

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu alijua bila kuambiwa na mtu kwamba wanafunzi wake walikuwa wananung'unika juu ya jambo hilo, akawauliza, "je, jambo hili linawafanya muwe na mashaka?

Chinese (Simplified)

耶 穌 心 裡 知 道 門 徒 為 這 話 議 論 、 就 對 他 們 說 、 這 話 是 叫 你 們 厭 棄 麼 。 〔 厭 棄 原 文 作 跌 倒

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha, akawauliza, "je, ni halali siku ya sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuua?" lakini wao hawakusema neno.

Chinese (Simplified)

又 問 眾 人 說 、 在 安 息 日 行 善 行 惡 、 救 命 害 命 、 那 樣 是 可 以 的 呢 . 他 們 都 不 作 聲

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,114,858 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK