From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hayo ni kwa sababu mwenyezi mungu ameteremsha kitabu kwa haki. na wale walio khitilafiana katika kitabu wamo katika upinzani ulio mbali na haki.
这是因为真主已降示包含真理的经典,违背经典的人,确已陷於长远的反对中。
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na mwenyezi mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake. kwa hakika katika hayo imo ishara kwa watu wanao sikia.
真主从云中降下雨水,并借雨水使已死的大地复活;对善于听话的民众,此中确有一种迹象。
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
je! huoni kwamba mwenyezi mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo tumeyatoa matunda yenye rangi mbali mbali. na katika milima imo mistari myeupe na myekundu yenye rangi mbali mbali, na myeusi sana.
难道你还不知道吗?真主从云中降下雨水,然后借雨水而生产各种果实。山上有白的、红的、各色的条纹,和漆黑的岩石。
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
ameteremsha maji kutoka mbinguni. na mabonde yakamiminika maji kwa kadiri yake. na mafuriko yakachukua mapovu yaliyo kusanyika juu yake. na kutokana na wanavyo yayusha katika moto kwa kutaka mapambo au vyombo hutokea povu vile vile. namna hivyo mwenyezi mungu ndivyo anavyo piga mifano ya haki na baat'ili. basi lile povu linapita kama takataka tu basi. ama kinacho wafaa watu hubakia kwenye ardhi. hivi ndivyo mwenyezi mungu anavyo piga mifano.
真主从云中降下雨水,一切沟壑就尽量流行。山洪载著浮渣--他们为制造首饰和器皿而熔化的金属,也有同样的浮渣。真主如此阐明真伪--至于渣滓则被冲走,至于有益于人的东西则留存在地面上。真主如此阐明许多比喻。
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: