Results for dhabihu translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Chinese

Info

Swahili

dhabihu

Chinese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu.

Chinese (Simplified)

我以一个伟大的牺牲赎了他。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini dhabihu hizo hufanyika kila mwaka kuwakumbusha watu dhambi zao.

Chinese (Simplified)

但 這 些 祭 物 是 叫 人 每 年 想 起 罪 來

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msisahau kutenda mema na kusaidiana, maana hizi ndizo dhabihu zinazompendeza mungu.

Chinese (Simplified)

只 是 不 可 忘 記 行 善 、 和 捐 輸 的 事 . 因 為 這 樣 的 祭 、 是   神 所 喜 悅 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kwa dhabihu yake moja tu, amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wanaotakaswa dhambi zao.

Chinese (Simplified)

因 為 他 一 次 獻 祭 、 便 叫 那 得 以 成 聖 的 人 永 遠 完 全

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, dhambi zikisha ondolewa, hakutakuwa na haja tena ya kutoa dhabihu za kuondoa dhambi.

Chinese (Simplified)

這 些 罪 過 既 已 赦 免 、 就 不 用 再 為 罪 獻 祭 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa dhabihu na wakati wa kufariki kwangu umefika.

Chinese (Simplified)

我 現 在 被 澆 奠 、 我 離 世 的 時 候 到 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kwa njia ya yesu, tumtolee mungu dhabihu ya sifa daima, yaani sifa zinazotolewa na midomo inayoliungama jina lake.

Chinese (Simplified)

我 們 應 當 靠 著 那 穌 、 常 常 以 頌 讚 為 祭 、 獻 給   神 、 這 就 是 那 承 認 主 名 之 人 嘴 唇 的 果 子

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"baada ya kukaa mbali kwa miaka kadhaa, nilirudi yerusalemu ili kuwapelekea wananchi wenzangu msaada na kutoa dhabihu.

Chinese (Simplified)

過 了 幾 年 、 我 帶 著 賙 濟 本 國 的 捐 項 和 供 獻 的 物 上 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jambo hili ni mfano wa nyakati za sasa. linaonyesha kwamba zawadi na dhabihu zinazotolewa kwa mungu haziwezi kuifanya mioyo ya wale wanaoabudu kuwa mikamilifu,

Chinese (Simplified)

那 頭 一 層 帳 幕 作 現 今 的 一 個 表 樣 、 所 獻 的 禮 物 和 祭 物 、 就 著 良 心 說 、 都 不 能 叫 禮 拜 的 人 得 以 完 全

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

upendo uongoze maisha yenu, kama vile kristo alivyotupenda, na kwa ajili yetu akajitoa mwenyewe kama dhabihu yenye harufu nzuri na tambiko impendezayo mungu.

Chinese (Simplified)

也 要 憑 愛 心 行 事 、 正 如 基 督 愛 我 們 、 為 我 們 捨 了 自 己 、 當 作 馨 香 的 供 物 、 和 祭 物 、 獻 與   神

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuhani mkuu wa kiyahudi huleta damu ya wanyama katika mahali patakatifu na kuitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi; lakini nyama za hao wanyama huteketezwa nje ya kambi.

Chinese (Simplified)

原 來 牲 畜 的 血 、 被 大 祭 司 帶 入 聖 所 作 贖 罪 祭 、 牲 畜 的 身 子 、 被 燒 在 營 外

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vivyo hivyo kristo naye alijitoa dhabihu mara moja tu kwa ajili ya kuziondoa dhambi za wengi. atakapotokea mara ya pili si kwa ajili ya kupambana na dhambi, bali ni kwa ajili ya kuwaokoa wale wanaomngojea.

Chinese (Simplified)

像 這 樣 、 基 督 既 然 一 次 被 獻 、 擔 當 了 多 人 的 罪 、 將 來 要 向 那 等 候 他 的 人 第 二 次 顯 現 、 並 與 罪 無 關 、 乃 是 為 拯 救 他 們

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kajifunzeni maana ya maneno haya: nataka huruma, wala si dhabihu. sikuja kuwaita watu wema, bali wenye dhambi."

Chinese (Simplified)

經 上 說 、 『 我 喜 愛 憐 恤 、 不 喜 愛 祭 祀 。 』 這 句 話 的 意 思 、 你 們 且 去 揣 摩 . 我 來 、 本 不 是 召 義 人 、 乃 是 召 罪 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana ingalikuwa hivyo, kristo angalipaswa kuteswa mara nyingi tangu kuumbwa ulimwengu. lakini sasa nyakati hizi zinapokaribia mwisho wake, yeye ametokea mara moja tu, kuondoa dhambi kwa kujitoa yeye mwenyewe dhabihu.

Chinese (Simplified)

如 果 這 樣 、 他 從 創 世 以 來 、 就 必 多 次 受 苦 了 . 但 如 今 在 這 末 世 顯 現 一 次 、 把 自 己 獻 為 祭 、 好 除 掉 罪

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa imani, abrahamu alimtoa mwanae isaka sadaka wakati mungu alipomjaribu. huyo abrahamu ndiye aliyekuwa amepokea ahadi ya mungu, lakini, hata hivyo, alikubali kumtoa dhabihu mwanae wa pekee,

Chinese (Simplified)

亞 伯 拉 罕 因 著 信 、 被 試 驗 的 時 候 、 就 把 以 撒 獻 上 . 這 便 是 那 歡 喜 領 受 應 許 的 、 將 自 己 獨 生 的 兒 子 獻 上

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa imani abeli alimtolea mungu dhabihu iliyokuwa bora zaidi kuliko ile ya kaini. kwa imani yake alikubaliwa na mungu kuwa mwadilifu; mungu mwenyewe alizikubali sadaka zake. kwa imani yake ingawa amekufa, bado ananena.

Chinese (Simplified)

亞 伯 因 著 信 獻 祭 與   神 、 比 該 隱 所 獻 的 更 美 、 因 此 便 得 了 稱 義 的 見 證 、 就 是   神 指 著 他 禮 物 作 的 見 證 . 他 雖 然 死 了 、 卻 因 這 信 仍 舊 說 話

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ndio walio kufuru na wakakuzuieni msiingie msikiti mtakatifu, na wakawazuilia dhabihu kufika mahala pao. na lau si wanaume waumini na wanawake waumini msio wajua mkawasaga na mkaingia makosani kutokana nao bila ya kujua... mwenyezi mungu (amefanya haya) ili amuingize amtakaye katika rehema yake. lau wangeli tengana bila ya shaka tungeli waadhibu walio kufuru kwa adhabu chungu.

Chinese (Simplified)

他们不信道,并阻碍你们入禁寺,且阻止被扣留的牺牲达到它的已定的位置。若不为厌恶你们蹂躏你们所未认识的许多信道的男子和女子,而你们因此无知地犯罪,那末,他不制止你们。真主制止你们,以便他使他所意欲者入于他的恩惠之中。假若他们是散居的,我必使他们中不信道的人们受痛苦的刑罚。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,800,492,334 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK