Results for faragha translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

na ukipata faragha, fanya juhudi.

Chinese (Simplified)

当你的事务完毕时,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.

Chinese (Simplified)

他 們 就 坐 船 、 暗 暗 的 往 曠 野 地 方 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, waliwaamuru watoke nje ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha.

Chinese (Simplified)

於 是 吩 咐 他 們 從 公 會 出 去 、 就 彼 此 商 議 說

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kesho yake, kabla ya mapambazuko, yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali.

Chinese (Simplified)

次 日 早 晨 、 天 未 亮 的 時 候 、 耶 穌 起 來 、 到 曠 野 地 方 去 、 在 那 裡 禱 告

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, "kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?"

Chinese (Simplified)

耶 穌 進 了 屋 子 、 門 徒 就 暗 暗 的 問 他 說 、 我 們 為 甚 麼 不 能 趕 出 他 去 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha wanafunzi wakamwendea yesu kwa faragha, wakamwuliza, "kwa nini sisi hatukuweza kumtoa yule pepo?"

Chinese (Simplified)

門 徒 暗 暗 的 到 耶 穌 跟 前 說 、 我 們 為 甚 麼 不 能 趕 出 那 鬼 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa mizeituni akielekea hekalu, petro, yakobo, yohane na andrea wakamwuliza kwa faragha,

Chinese (Simplified)

耶 穌 在 橄 欖 山 上 對 聖 殿 而 坐 . 彼 得 、 雅 各 、 約 翰 和 安 得 烈 、 暗 暗 的 問 他 說

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkuu wa jeshi alimshika huyo kijana mkono, akampeleka mahali pa faragha, akamwuliza, "una nini cha kuniambia?"

Chinese (Simplified)

千 夫 長 就 拉 著 他 的 手 、 走 到 一 旁 、 私 下 問 他 說 、 你 有 甚 麼 事 告 訴 我 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kesho yake asubuhi yesu aliondoka akaenda mahali pa faragha. watu wakawa wanamtafuta, na walipofika mahali alipokuwa, wakajaribu kumzuia ili asiondoke kwao.

Chinese (Simplified)

天 亮 的 時 候 、 耶 穌 出 來 、 走 到 曠 野 的 地 方 。 眾 人 去 找 他 、 到 了 他 那 裡 、 要 留 住 他 、 不 要 他 離 開 他 們

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipopata habari hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. lakini watu walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.

Chinese (Simplified)

耶 穌 聽 見 了 、 就 上 船 從 那 裡 獨 自 退 到 野 地 裡 去 . 眾 人 聽 見 、 就 從 各 城 裡 步 行 跟 隨 他

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulipokucha, wayahudi walifanya kikao cha faragha. wakala kiapo: "hatutakula wala kunywa mpaka tutakapokuwa tumekwisha muua paulo."

Chinese (Simplified)

到 了 天 亮 、 猶 太 人 同 謀 起 誓 、 說 、 若 不 先 殺 保 羅 、 就 不 喫 不 喝

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa mungu. katika kikao cha faragha niliwaeleza hao viongozi ujumbe wa habari njema niliohubiri kwa watu wa mataifa. nilifanya hivyo kusudi kazi yangu niliyokuwa nimefanya, na ile ninayofanya sasa isije ikawa bure.

Chinese (Simplified)

我 是 奉 啟 示 上 去 的 、 把 我 在 外 邦 人 中 所 傳 的 福 音 、 對 弟 兄 們 陳 說 . 卻 是 背 地 裡 對 那 有 名 望 之 人 說 的 . 惟 恐 我 現 在 、 或 是 從 前 、 徒 然 奔 跑

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi mlio amini! nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia na walio bado kubaalighi miongoni mwenu mara tatu - kabla ya sala ya alfajiri, na wakati mnapo vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya sala ya isha. hizi ni nyakati tatu za faragha kwenu. si vibaya kwenu wala kwao baada ya nyakati hizi, kuzungukiana nyinyi kwa nyinyi. hivyo ndivyo mwenyezi mungu anavyo kuelezeni aya zake, na mwenyezi mungu ni mjuzi mwenye hikima.

Chinese (Simplified)

信士们啊!教你们的奴婢和你们中尚未成丁的儿童,三次向你们请示,晨礼之前,正午脱衣之时,宵礼之后,这是你们的三个不防备的时候。除此以外, 你们和他们无妨随便往来。真主这样为你们阐明一些迹象。真主是全知的,是至睿的。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,768,892 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK