Results for kutambua translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Chinese

Info

Swahili

kutambua

Chinese

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

maana anayekula na kunywa bila kutambua maana ya mwili wa bwana, anakula na kunywa hukumu yake yeye mwenyewe.

Chinese (Simplified)

因 為 人 喫 喝 、 若 不 分 辨 是 主 的 身 體 、 就 是 喫 喝 自 己 的 罪 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

namwomba mungu aifunue mioyo yenu iweze kuuona mwanga wake, mpate kutambua lile tumaini alilowaitieni na utukufu mkuu wa zawadi alizowawekea watu wake,

Chinese (Simplified)

並 且 照 明 你 們 心 中 的 眼 睛 、 使 你 們 知 道 他 的 恩 召 有 何 等 指 望 . 他 在 聖 徒 中 得 的 基 業 、 有 何 等 豐 盛 的 榮 耀

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpate kutambua jinsi uwezo wake ulivyo mkuu mno kwa ajili yetu sisi tunaoamini. uwezo huo unaofanya kazi ndani yetu, ni sawa na nguvu ile kuu mno

Chinese (Simplified)

並 知 道 他 向 我 們 這 信 的 人 所 顯 的 能 力 、 是 何 等 浩 大

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au labda unaudharau wema wake mkuu, uvumilivu wake na saburi yake, bila kutambua kwamba wema wake huo una shabaha ya kukuongoza upate kutubu?

Chinese (Simplified)

還 是 你 藐 視 他 豐 富 的 恩 慈 、 寬 容 、 忍 耐 、 不 曉 得 他 的 的 恩 慈 是 領 你 悔 改 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini ikiwa ninazifanya, hata kama hamniamini, walau ziaminini hizo kazi mpate kujua na kutambua kwamba baba yuko ndani yangu, nami niko ndani yake."

Chinese (Simplified)

我 若 行 了 、 你 們 縱 然 不 信 我 、 也 當 信 這 些 事 . 叫 你 們 又 知 道 、 又 明 白 、 父 在 我 裡 面 、 我 也 在 父 裡 面

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini sisi ni wake mungu. mtu anayemjua mungu hutusikiliza, mtu asiye wa mungu hatusikilizi. basi, kwa njia hiyo tunaweza kutambua tofauti kati ya roho wa ukweli na roho wa uongo.

Chinese (Simplified)

我 們 是 屬   神 的 . 認 識   神 的 就 聽 從 我 們 . 不 屬   神 的 就 不 聽 從 我 們 . 從 此 我 們 可 以 認 出 真 理 的 靈 、 和 謬 妄 的 靈 來

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msiige mitindo ya ulimwengu huu, bali mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. hapo ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya mungu, kutambua jambo lililo jema, linalompendeza na kamilifu.

Chinese (Simplified)

不 要 效 法 這 個 世 界 . 只 要 心 意 更 新 而 變 化 、 叫 你 們 察 驗 何 為   神 的 善 良 、 純 全 可 喜 悅 的 旨 意

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni mungu. hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.

Chinese (Simplified)

你 們 作 丈 夫 的 、 也 要 按 情 理 和 妻 子 同 住 . 〔 情 理 原 文 作 知 識 〕 因 他 比 你 軟 弱 、 〔 比 你 軟 弱 原 文 作 是 軟 弱 的 器 皿 〕 與 你 一 同 承 受 生 命 之 恩 的 、 所 以 要 敬 重 他 . 這 樣 便 叫 你 們 的 禱 告 沒 有 阻 礙

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpaka walipo fika kwenye bonde la wadudu chungu, alisema mdudu chungu mmoja: enyi wadudu chungu! ingieni majumbani mwenu, asikupondeni sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.

Chinese (Simplified)

等到他们来到蚁谷的时候,一个母蚁说:蚂蚁们啊!快进自己的住处去,以免被素莱曼和他的大军不知不觉地践踏。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na alfajiri mwasema: leo hali ya hewa itakuwa ya dhoruba, maana anga ni jekundu na tena mawingu yametanda! basi, ninyi mnajua sana kusoma majira kwa kuangalia anga, lakini kutambua dalili za nyakati hizi hamjui.

Chinese (Simplified)

早 晨 天 發 紅 、 又 發 黑 、 你 們 就 說 、 今 日 必 有 風 雨 。 你 們 知 道 分 辨 天 上 的 氣 色 、 倒 不 能 分 辨 這 時 候 的 神 蹟

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,790,969,359 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK