Results for mfanyakazi translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.

Chinese (Simplified)

作 工 的 得 工 價 、 不 算 恩 典 、 乃 是 該 得 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu yetu mpenzi tukiko, mfanyakazi mwaminifu na mtumishi mwenzetu katika kazi ya bwana, atawapeni habari zangu zote.

Chinese (Simplified)

有 我 親 愛 的 兄 弟 推 基 古 要 將 我 一 切 的 事 都 告 訴 你 們 . 他 是 忠 心 的 執 事 、 和 我 一 同 作 主 的 僕 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi paulo, mfungwa kwa ajili ya kristo yesu, na ndugu timotheo, ninakuandikia wewe filemoni mpendwa, mfanyakazi mwenzetu

Chinese (Simplified)

為 基 督 耶 穌 被 囚 的 保 羅 、 同 兄 弟 提 摩 太 、 寫 信 給 我 們 所 親 愛 的 同 工 腓 利 門

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitahidi kupata kibali kamili mbele ya mungu kama mfanyakazi ambaye haoni haya juu ya kazi yake, na ambaye hufundisha sawa ule ujumbe wa kweli.

Chinese (Simplified)

你 當 竭 力 、 在   神 面 前 得 蒙 喜 悅 、 作 無 愧 的 工 人 、 按 著 正 意 分 解 真 理 的 道

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

timotheo, mfanyakazi mwenzangu, anawasalimu. hali kadhalika lukio, yasoni, na sosipatro, wananchi wenzangu, wanawasalimu.

Chinese (Simplified)

與 我 同 工 的 提 摩 太 、 和 我 的 親 屬 路 求 、 耶 孫 、 所 西 巴 德 、 問 你 們 安

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kumtuma kwenu ndugu yetu timotheo, ambaye ni mfanyakazi mwenzetu kwa ajili ya mungu katika kuhubiri habari njema ya kristo. tulimtuma ili awaimarisheni na kuwafarijini,

Chinese (Simplified)

打 發 我 們 的 兄 弟 在 基 督 福 音 上 作   神 執 事 的 提 摩 太 前 去 、 〔 作   神 執 事 的 有 古 卷 作 與   神 同 工 的 〕 堅 固 你 們 、 並 在 你 們 所 信 的 道 上 勸 慰 你 們

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, akamwambia mfanyakazi wake: angalia! kwa miaka mitatu nimekuwa nikija kuchuma matunda ya mtini huu, nami nisiambulie kitu. ukate! kwa nini uitumie ardhi bure?

Chinese (Simplified)

就 對 管 園 的 說 、 看 哪 、 我 這 三 年 、 來 到 這 無 花 果 樹 前 找 果 子 、 竟 找 不 著 、 把 他 砍 了 罷 . 何 必 白 佔 地 土 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,947,361,079 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK