Results for nyikani translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.

Chinese (Simplified)

我以它为教训,并且以它为荒野的居民的慰藉,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi wake wakamwuliza, "hapa nyikani itapatikana wapi mikate ya kuwashibisha watu hawa wote?"

Chinese (Simplified)

門 徒 回 答 說 、 在 這 野 地 、 從 那 裡 能 得 餅 、 叫 這 些 人 喫 飽 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanafunzi wakamwambia, "hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?"

Chinese (Simplified)

門 徒 說 、 我 們 在 這 野 地 、 那 裡 有 這 麼 多 的 餅 、 叫 這 許 多 人 喫 飽 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

saa za mchana zilikwisha pita. basi, wanafunzi wakamwendea yesu, wakamwambia, "hapa ni nyikani, na sasa kunakuchwa.

Chinese (Simplified)

天 己 經 晚 了 、 門 徒 進 前 來 說 、 這 是 野 地 、 天 已 經 晚 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea wakamwambia, "mahali hapa ni nyikani, na saa zimepita. basi, uwaage watu ili waende vijijini wakajinunulie chakula."

Chinese (Simplified)

天 將 晚 的 時 候 、 門 徒 進 前 來 說 、 這 是 野 地 、 時 候 已 經 過 了 . 請 叫 眾 人 散 開 、 他 們 好 往 村 子 裡 去 、 自 己 買 喫 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jua lilipokuwa linaanza kutua, wale kumi na wawili walimwendea wakamwambia, "waage watu waende kwenye vijiji na mashamba ya karibu, wakajipatie chakula na mahali pa kulala, kwa maana hapa tulipo ni nyikani."

Chinese (Simplified)

日 頭 快 要 平 西 、 十 二 個 門 徒 來 對 他 說 、 請 叫 眾 人 散 開 、 他 們 好 往 四 面 鄉 村 裡 去 借 宿 找 喫 的 . 因 為 我 們 這 裡 是 野 地

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,948,278,293 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK