Results for tajiri translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

tajiri

Chinese (Simplified)

tajiri

Last Update: 2023-11-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini huyo mtu aliposikia hayo, alihuzunika sana kwa sababu alikuwa tajiri sana.

Chinese (Simplified)

他 聽 見 這 話 、 就 甚 憂 愁 、 因 為 他 很 富 足

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kweli dini humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.

Chinese (Simplified)

然 而 敬 虔 加 上 知 足 的 心 便 是 大 利 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye tajiri anapaswa kufurahi anaposhushwa na mungu. maana tajiri atatoweka kama ua la porini.

Chinese (Simplified)

富 足 的 降 卑 、 也 該 如 此 . 因 為 他 必 要 過 去 、 如 同 草 上 的 花 一 樣

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo aliyekuwa tajiri akasema: basi baba, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,

Chinese (Simplified)

財 主 說 、 我 祖 阿 、 既 是 這 樣 、 求 你 打 發 拉 撒 路 到 我 父 家 去

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulikuwa na mtu mmoja mjini, jina lake zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watoza ushuru tena mtu tajiri.

Chinese (Simplified)

有 一 個 人 名 叫 撒 該 、 作 稅 吏 長 、 是 個 財 主

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha akawaambia mfano: "kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba lake lilizaa mavuno mengi.

Chinese (Simplified)

就 用 比 喻 對 他 們 說 、 有 一 個 財 主 、 田 產 豐 盛

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa armathaya, jina lake yosefu. yeye pia alikuwa mwanafunzi wa yesu.

Chinese (Simplified)

到 了 晚 上 、 有 一 個 財 主 、 名 叫 約 瑟 、 是 亞 利 馬 太 來 的 . 他 也 是 耶 穌 的 門 徒

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo yesu akawaambia wanafunzi wake, "kweli nawaambieni, itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Chinese (Simplified)

耶 穌 對 門 徒 說 、 我 實 在 告 訴 你 們 、 財 主 進 天 國 是 難 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lazaro alitamani kula makombo yaliyoanguka kutoka meza ya tajiri; na zaidi ya hayo, mbwa walikuwa wanakuja na kulamba vidonda vyake!

Chinese (Simplified)

要 得 財 主 桌 子 上 掉 下 來 的 零 碎 充 飢 . 並 且 狗 來 餂 他 的 瘡

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ikatokea kwamba huyo maskini akafa, malaika wakamchukua, wakamweka karibu na abrahamu. na yule tajiri pia akafa, akazikwa.

Chinese (Simplified)

後 來 那 討 飯 的 死 了 、 被 天 使 帶 去 放 亞 伯 拉 罕 的 懷 裡 . 財 主 也 死 了 、 並 且 埋 葬 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.

Chinese (Simplified)

太 陽 出 來 、 熱 風 颳 起 、 草 就 枯 乾 、 花 也 凋 謝 、 美 容 就 消 沒 了 . 那 富 足 的 人 、 在 他 所 行 的 事 上 、 也 要 這 樣 衰 殘

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau, na ya kitani safi, na kufanya sherehe kila siku.

Chinese (Simplified)

有 一 個 財 主 、 穿 著 紫 色 袍 和 細 麻 布 衣 服 、 天 天 奢 華 宴 樂

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita wayahudi lakini si wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake shetani.

Chinese (Simplified)

我 知 道 你 的 患 難 、 你 的 貧 窮 、 ( 你 卻 是 富 足 的 ) 也 知 道 那 自 稱 是 猶 太 人 所 說 的 毀 謗 話 、 其 實 他 們 不 是 猶 太 人 、 乃 是 撒 但 一 會 的 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi mlio amini! kuweni wenye kusimamisha uadilifu, mtowao ushahidi kwa ajili ya mwenyezi mungu, ijapo kuwa ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu. akiwa tajiri au masikini mwenyezi mungu anawastahikia zaidi. basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu. na mkiupotoa au mkajitenga nao basi mwenyezi mungu anajua vyema mnayo yatenda.

Chinese (Simplified)

信道的人们啊!你们当维护公道,当为真主而作证,即使不利于你们自身,和父母和至亲。无论被证的人,富足的,还是贫穷的,你们都应当秉公作证;真主是最宜于关切富翁和贫民的。你们不要顺从私欲,以致偏私。 如果你们歪曲事实,或拒绝作证,那末,真主确是彻知你们的行为的。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,949,584,697 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK