Results for ugonjwa translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

ugonjwa

Chinese (Simplified)

疾病

Last Update: 2015-03-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu alipomwona, alimwita, akamwambia, "mama, umeponywa ugonjwa wako."

Chinese (Simplified)

耶 穌 看 見 、 便 叫 過 他 來 、 對 他 說 、 女 人 、 你 脫 離 這 病 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mbele yake yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili.

Chinese (Simplified)

在 他 面 前 有 一 個 患 水 臌 的 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mara chemchemi ya damu yake ikakauka, akajisikia mwilini mwake kwamba ameponywa ugonjwa wake.

Chinese (Simplified)

於 是 他 血 漏 的 源 頭 、 立 刻 乾 了 . 他 便 覺 得 身 上 的 災 病 好 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mnajua kwamba ugonjwa wangu ndio ulionipatia fursa ya kuwahubirieni habari njema kwa mara ya kwanza.

Chinese (Simplified)

你 們 知 道 我 頭 一 次 傳 福 音 給 你 們 、 是 因 為 身 體 有 疾 病

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

huyo mwanamke alimfuata yesu nyuma, akagusa pindo la vazi lake. papo hapo akaponywa ugonjwa wake wa kutokwa damu.

Chinese (Simplified)

他 來 到 耶 穌 背 後 、 摸 他 的 衣 裳 繸 子 、 血 漏 立 刻 就 止 住 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu akamwambia, "binti, imani yako imekuponya. nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako."

Chinese (Simplified)

耶 穌 對 他 說 、 女 兒 、 你 的 信 救 了 你 、 平 平 安 安 的 回 去 罷 . 你 的 災 病 痊 愈 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana mara kwa mara malaika alishuka majini nyakati fulani na kuyatibua. mtu yeyote aliyekuwa wa kwanza kuingia majini baada ya maji kutibuliwa, alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao.

Chinese (Simplified)

〔 因 為 有 天 使 按 時 下 池 子 攪 動 那 水 水 動 之 後 誰 先 下 去 無 論 害 甚 麼 病 就 痊 愈 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kulikuwa na mwanamke mmoja kati ya lile kundi la watu, ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote kwa waganga, hakuna aliyefaulu kumponya.

Chinese (Simplified)

有 一 個 女 人 、 患 了 十 二 年 的 血 漏 、 在 醫 生 手 裡 花 盡 了 他 一 切 養 生 的 、 並 沒 有 一 人 能 醫 好 他

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na walipo sema wanaafiki, na wale wenye ugonjwa nyoyoni mwao: watu hawa dini yao imewadanganya. na mwenye kumtegemea mwenyezi mungu basi hakika mwenyezi mungu ni mwenye nguvu ametukuka, na mwenye hikima.

Chinese (Simplified)

当时,伪信的人和心中有病的人都说:这等人的宗教已欺骗他们了。谁信赖真主,(谁必胜利),因为真主确是强大的,确是至睿的。

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,780,818,338 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK