Results for waliposikia translation from Swahili to Chinese (Simplified)

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Chinese (Simplified)

Info

Swahili

waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.

Chinese (Simplified)

他 們 聽 見 就 希 奇 、 離 開 他 走 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Chinese (Simplified)

門 徒 聽 見 、 就 俯 伏 在 地 、 極 其 害 怕

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale watu waliposikia hayo, wakasema, "nani basi, atakayeokolewa?"

Chinese (Simplified)

聽 見 的 人 說 、 這 樣 、 誰 能 得 救 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakawakasirikia hao ndugu wawili.

Chinese (Simplified)

那 十 個 門 徒 聽 見 、 就 惱 怒 他 們 弟 兄 二 人

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mafarisayo waliposikia kwamba yesu alikuwa amewanyamazisha masadukayo, wakakutana pamoja.

Chinese (Simplified)

法 利 賽 人 聽 見 耶 穌 堵 住 了 撒 都 該 人 的 口 、 他 們 就 聚 集

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na yakobo na yohane.

Chinese (Simplified)

那 十 個 門 徒 聽 見 、 就 惱 怒 雅 各 、 約 翰

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, "anamwita eliya."

Chinese (Simplified)

站 在 那 裡 的 人 、 有 的 聽 見 就 說 、 這 個 人 呼 叫 以 利 亞 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini mafarisayo waliposikia hayo, kwa vile wao walikuwa wanapenda sana fedha, wakamdharau yesu.

Chinese (Simplified)

法 利 賽 人 是 貪 愛 錢 財 的 、 他 們 聽 見 這 一 切 話 、 就 嗤 笑 耶 穌

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa, wakamwuliza, "ni nani basi, awezaye kuokoka?"

Chinese (Simplified)

門 徒 聽 見 這 話 、 就 希 奇 得 很 、 說 、 這 樣 誰 能 得 救 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mkuu wa walinzi wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia habari hiyo wakawa na wasiwasi, wasijue yaliyowapata.

Chinese (Simplified)

守 殿 官 和 祭 司 長 聽 見 這 話 、 心 裡 犯 難 、 不 知 這 事 將 來 如 何

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, "sikiliza! anamwita eliya!"

Chinese (Simplified)

旁 邊 站 著 的 人 、 有 的 聽 見 就 說 、 看 哪 、 他 叫 以 利 亞 呢

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hao maofisa waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba paulo na sila walikuwa raia wa roma, waliogopa.

Chinese (Simplified)

差 役 把 這 話 回 稟 官 長 . 官 長 聽 見 他 們 是 羅 馬 人 、 就 害 怕 了

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waliposikia hayo, waliwaka hasira, wakaanza kupiga kelele: "mkuu ni artemi, wa efeso!"

Chinese (Simplified)

眾 人 聽 見 、 就 怒 氣 填 胸 、 喊 著 說 、 大 哉 以 弗 所 人 的 亞 底 米 阿

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini mafarisayo waliposikia hayo, wakasema, "mtu huyu anawafukuza pepo kwa uwezo wa beelzebuli, mkuu wa pepo."

Chinese (Simplified)

但 法 利 賽 人 聽 見 、 就 說 、 這 個 人 趕 鬼 、 無 非 是 靠 鬼 王 別 西 卜 阿

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, kwa haraka wakazunguka katika nchi ile yote, wakaanza kuwachukua wagonjwa wamelala juu ya mikeka yao, wakawapeleka kila mahali waliposikia yesu yupo.

Chinese (Simplified)

就 跑 遍 那 一 帶 地 方 、 聽 見 他 在 何 處 、 便 將 有 病 的 人 、 用 褥 子 抬 到 那 裡

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, watu waliposikia hayo, walichomwa moyo, wakawauliza petro na wale mitume wenzake: "ndugu zetu, tufanye nini?"

Chinese (Simplified)

眾 人 聽 見 這 話 、 覺 得 扎 心 、 就 對 彼 得 和 其 餘 的 使 徒 說 、 弟 兄 們 、 我 們 當 怎 樣 行

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

waliposikia habari hiyo waliungana pamoja katika kumwomba mungu wakisema, "bwana, wewe ni muumba wa mbingu na nchi, bahari na vyote vilivyomo!

Chinese (Simplified)

他 們 聽 見 了 、 就 同 心 合 意 的 、 高 聲 向   神 說 、 主 阿 、 你 是 造 天 、 地 、 海 、 和 其 中 萬 物 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

waliposikia hayo, walimtukuza mungu. kisha wakamwambia paulo, "ndugu, unaweza kuona kwamba kuna maelfu ya wayahudi ambao sasa wamekuwa waumini na wote hao wanashika kwa makini sheria ya mose.

Chinese (Simplified)

他 們 聽 見 、 就 歸 榮 耀 與   神 、 對 保 羅 說 、 兄 台 、 你 看 猶 太 人 中 信 主 的 有 多 少 萬 、 並 且 都 為 律 法 熱 心

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

atakuja kuwaangamiza wakulima hao, na atawapa wakulima wengine hilo shamba la mizabibu." watu waliposikia maneno hayo, walisema: "hasha! yasitukie hata kidogo!"

Chinese (Simplified)

他 要 來 除 滅 這 些 園 戶 、 將 葡 萄 園 轉 給 別 人 . 聽 見 的 人 說 、 這 是 萬 不 可 的

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,948,237,409 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK