Results for alichokuwa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

alichokuwa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

lakini wayahudi walipoliona hilo kundi la watu walijaa wivu, wakapinga alichokuwa anasema paulo na kumtukana.

English

but when the jews saw the multitudes, they were filled with envy, and spake against those things which were spoken by paul, contradicting and blaspheming.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kijana mmoja anayetumikia jeshi kama askari polisi aliamua kutorudi kwenye kikosi alichokuwa akifanya kazi baada ya likizo na alipeleka taarifa kuwa dhamiri yake ilikuwa ikimshtaki.

English

a young man who is serving his military service as police decided not to go back to his military unit after vacation and announced the declaration of conscience.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mradi huu umebuniwa na witfilm amsterdam na ssuuna goloob, waliofika barani ulaya kutoka uganda ili kujionea wao wenyewe kama ni kweli kwa kile alichokuwa akikisikia kuhusiana na nchi zetu na jinsi tunavyoishi.

English

it was created by witfilm amsterdam and ssuuna goloob, who arrived in europe from uganda to see with his own eyes if what he had heard about our countries and how we live here was true.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

binti huyu alikuwa ameajiriwa na mtu tajiri na mwenye uwezo mkubwa aliyewahi kuwa rais wa chama cha wanasheria, na binti huyu alichokuwa akilipwa ni dola 8 tu kwa mwezi huku baadhi ya majukumu yake yakiwa ni kusafisha choo, magari yaliyokuwa ayakiegeshwa hapo katika nyumba iliyo pembezoni kidogo mwa mji, pamoja na kuondoa taka zote katika nyumba hiyo ya ghorofa."

English

she had been employed by the wealthy and influential former president of lahore's bar association, and for a generous $8 a month she cleaned her employer's toilets, the cars that filled their suburban garage, and the filth that collected on the floors of their home.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,724,794,298 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK