Results for ametuma' translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ametuma

English

Last Update: 2024-01-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nadine ghazzawi, dada yake razan ametuma ujumbe kwenye twita:

English

nadine ghazzawi, razan's sister just tweeted:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@lisandrosuero pia ametuma picha za maangamizi, pamoja nah ii hapa chini:

English

@lisandrosuero has also posted photos of the destruction, including the one below: global voices' special coverage page on the earthquake in haiti is here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tallawah ametuma picha kutoka katika muhula wa 2010 wa kikundi cha taifa cha dansi cha jamaica.

English

tallawah posts photographs from the national dance theatre company of jamaica's 2010 season.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

rais wa korea kusini lee myung-bak ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mwanamwali huyo kupitia balozi wa korea nchini vietnam .

English

south korean president lee myung-bak passed his condolence to the victim's family via korean ambassador in vietnam.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu one tribe, many voices anatambua kuwa muziki wa mwanamuziki huyo ulikuwa ni muziki uliosindikiza maisha ya watu wengi wa karibeani , na ametuma kiungo kwa wasomaji ili waweze kusikiliza:

English

one tribe, many voices recognises that his music was a soundtrack to the lives of many caribbean people, even posting a link for readers to take a listen:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

diegoalejandro1985 ametuma picha ya video inayoonyesha watu wakiwa katika mstari wa kuingia katika moja ya taasisi zinazoendesha michezo hiyo inayojulikana kama drfe wakijaribu kudai pesa zao mara baada ofisi ya mwanasheria mkuu kuivamia na kuipekua, ambapo kuna fedha zilizokutwa zilizodhaniwa kuwa ilikuwa zitumike kulipa wale waliowekeza pesa zao kwenye taasisi hiyo, hata hivyo, msako huu unasemekana kwamba ulikuwa batili na hivyo mchezo wa upatu katika jengo hilo bado unaendelea.

English

diegoalejandro1985 posts a video of people lining up outside one of these investment options known as drfe, trying to claim their money after the general attorneys searched the premises and took hold of money that could've been used to pay those with savings invested in the organization, but this search was deemed illegal and the pyramid scheme is still in operation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,152,104,937 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK