Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
loon pond, anayejulikana pia kama dorothy parker, anamchachafya henderson:
loon pond, aka dorothy parker, takes henderson to task:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanablogu wa irani anayejulikana kama z8tun alihitimisha hali halisi ya mambo yapata miaka miwili iliyopita:
iranian blogger z8tun summed up the situation about two years ago:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
felix ni mtu anayejulikana, ambaye mara nyingi hunukuliwa kwenye magazeti na hata katika jarida la mwezi huu la usalama.
felix is a high profile guy, often quoted in the newspapers and in fact quoted in this month’s issue of security management magazine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa maneno rahisi, je ungependa yule anayejulikana sawia, yule anayejulikana lakini hajulikani au yule asiyejulikana kabisa?
michel simply put, would you rather the known-known, known unknown or unknown unknowns?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanahabari-mwanablogu mkongwe anashtakiwa katika kesi ya kudhalilisha na mwanasiasa anayejulikana kwa kutetea uhuru wa habari nchini malaysia.
a veteran journalist-blogger is being sued for libel by a politician who is known for espousing press freedom in malaysia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanablogu mwingine mashuhuri, anton nossik (ambaye pia ni mtumiaji wa lj anayejulikana kama dolboeb), aliandika :
another popular blogger, anton nossik (aka lj user dolboeb), wrote :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pu ni mtu maarufu anayejulikana kwenye harakati za weiquan, akiwa amewahi kuwatetea waandishi na wanahabari katika kesi kadhaa maarufu, ikiwa ni pamoja na msanii ai weiwei.
pu is a prominent figure in the weiquan movement, having advocated for writers and journalists in a number of high-profile cases, including artist ai weiwei.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mtu huyo anayependwa sana, na mshindi wa tuzo ya amani ya nobel, anayejulikana pia kama madiba, alitumikia kifungo cha miaka 27 jela alikokuwa amefungwa kwa sababu ya harakati zake za kisiasa wakati wa utawala wa makaburi nchini humo kabla ya yeye kuwa rais.
the beloved statesman and nobel peace prize laureate, who is often referred to as madiba, spent 27 years in prison for his political activities during the country's white minority rule before becoming president.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mchonga sanamu msenegali, anayejulikana kwa kuchonga mafuatano yake ya sanamu muhimu zinazosawiri kabila za kiafrika (wanuba, wafulani, wamasai, wazulu) ametunukiwa tuzo la ajabu.
this is a wonderful consecration for the senegalese sculptor known for his series of monumental sculptures devoted to african tribes (nuba, fulani, masai, zulu).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
boris nemtsov (anayejulikana pia kama mtumiaji wa lj b-nemtsov), naibu waziri wa zamani wa urusi, aliandika posti yenye mguso wa pekee “kaliningrad ni tumaini la urusi iliyo huru” ambapo alisisitiza upekee wa maandamano hayo ya kaliningrad :
lj user b-nemtsov), a former russian deputy prime minister, wrote an inspiring post "kaliningrad is the hope of free russia" where he stressed the uniqueness of the protest in kaliningrad :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting