Ask Google

Results for baraza la madiwani translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Mabadiliko yanayopendekezwa yanafanywa na Baraza la Seneti.

English

The proposed revision is currently under review at the Senate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Uganda: Mke wa Rais ateuliwa kwenye Baraza la Mawaziri

English

Uganda: President's wife appointed to cabinet · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Picha imepigwa kwenye video iliyowekwa na Baraza la Seneti.

English

Screenshot from video posted by the Senate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ninamshukuru Gavana na Baraza la Seneta kwa fursa ya kuthibitisha kujitolea kwangu.

English

I thank the Governor and the Senate for the opportunity to reaffirm this commitment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baraza la Taifa la Elimu ya Sekondari lilitoa tamko kulaani uhamisho holela:

English

The National Syndicate for Secondary Education issued a statement condemning the arbitrary transfer:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwishoni mwa Mwezi Disemba, Baraza la Mawaziri la Msumbiji lilitoa tamko muhimu.

English

In late December, the Council of Ministers of Mozambique made a significant announcement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baraza la Seneti la Urugwai lilipiga kura 16 kwa 13 kuhalalisha uzalishaji na uuzaji wa bangi..

English

Uruguay's Senate voted 16 to 13 to legalize the production and sale of marijuana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Maite Oronoz wakati wa zoezi la kuthibitishwa kwenye baraza la seneti la Puerto Rico.

English

Maite Oronoz during the confirmation process in the Puerto Rico Senate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

-Baraza la Kijeshi limetishia kuvunja bunge kwa kukata rufaa katika Mahakama Kuu ya Katiba.

English

- SCAF has threatened to dissolve parliament by appealing against the Head of the Supreme Constitutional Court.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Abd El Fattah ni mmoja wapo wa washitakiwa 25 katika kile kilichokuja kujulikana kama kesi ya Baraza la Shura.

English

Abd El Fattah is one of 25 defendants in what has become known as the Shura Council case.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefikia azimio 2177 la kupambana na janga hilo linalohatarisha afya ya jamii.

English

The United Nations Security Council has adopted Resolution 2177 to deal with the public health crisis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ingawa muswada huo umejaa utata mwingi, bado serikali imekuwa ikishinikiza baraza la kutunga sheria kuupitisha.

English

Even though the bill is highly controversial, the administration has been pushing the legislative council to pass it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Rais Michael Sata akisemekana kuhutubia kikao cha Baraza la Mawaziri mara aliporudi kutoka Israel alikokuwa amelazwa hospitali.

English

President Michael Sata reportedly addressing a cabinet meeting upon his return from Israel where he was admitted to a hospital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa vile alishughulikia suala nyeti lililogusia haki za binadamu nchini Ufaransa, Waziri alionywa na Baraza la Ulaya:

English

On a subject that was already quite sensitive for Human rights in France, the Minister's statement got him a warning from the Council of Europe:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Na alichosema katibu wa Baraza la Mawaziri Joshua Kanganja na Chibiliti kwenye Wizara ya Fedha kinahusianaje na kuchapisha noti?

English

And what have the Cabinet Secretary Joshua Kanganja and Chibiliti at the Ministry of Finance got to do with the printing of money?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni watu wanne, kati ya watu zaidi ya 400 waliojiandikisha ambao walipewa idhini rasmi na Baraza la Walezi kuwa wagombea.

English

Only four men, out of more than 400 self-registered men and women, were given official approval by the Guardian Council for the candidacy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mitsangana Madagascar anasema kwamba orodha hiyo ina wanawake 6 na kuwa mawaziri 7 walikuwa kwenye baraza la serikali iliyopita ya mpito.

English

Mitsangana Madagascar notes that the list includes 6 women and that 7 ministers were already part of the previous transitional government.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwaka wa masomo unakaribia kuanza nchini Mauritania na vita ndio kwanza vimeanza kwa mara nyingine baina ya Waziri na baraza la walimu.

English

The academic year is about to start in Mauritania and the battle starts again between the Minister and the syndicates.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tarehe 9 Februari, baada ya majuma kadhaa ya mivutano ya siasa, Baraza la Seneti lilimthibitisha Jonathan kama kaimu Rais.

English

On February 9th, after weeks of political wrangling, the Senate confirmed Jonathan as acting President.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

-Je, Baraza la Kijeshi linataka kuharibu lengo la mapinduzi, kuwakatisha watu tamaa, na kuvuruga uchaguzi?

English

- Does SCAF want to thwart the revolution, make the people despair, and rig the elections?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK