Ask Google

Results for chati ya mstari translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Macedonia, nchi iliyo kwenye orodha ya nchi masikini kabisa barani Ulaya, kila mwananchi mmoja kati ya watatu anaishi chini ya mstari wa umasikini .

English

In Macedonia, ranked among the poorest countries in Europe, every third citizen lives below the poverty line .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Serikali haijajibu tetesi hizi ukiacha matamko ya mstari mmoja yanayokanusa habari kuhusu hali ya afya ya mkuu huyo wa nchi mwenye miaka 76 ambaye vile vile ni mwanasiasa wa siku nyingi.

English

The government has not particularly responded to these rumours apart from issuing one-liner statements refuting the stories about the health status of the 76 year-old head of state and veteran politician.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hivyo, chati ya Zhou na wenzake inapaswa kusasishwa, kwa sababu iliainisha mtu bila dalili za kimatibabu kuwa ni wa “hatari ya chini”.

English

Hence, the flow chart of Zhou et al. should be updated, as they classified the person without clinical symptoms as “low risk”.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwanza, data hii ni ya awali na uchanganuzi wake ulikuwa na vizuizi kutokana na kukosekana kwa data inayohusiana na idara ya afya kuripoti mzigo unaohusiana na idadi ya visa inayoendelea kukua na kucheleweshwa kukamilishwa kwa maelezo yanayohitaji ukaguzi wa chati ya kimatibabu; matokeo haya yanaweza kubadilika data ya ziada ikiendelea kupatikana.

English

First, these data are preliminary, and the analysis was limited by missing data related to the health department reporting burden associated with rapidly rising case counts and delays in completion of information requiring medical chart review; these findings might change as additional data become available.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK