Ask Google

Results for dirisha translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

dirisha

English

usb

Last Update: 2012-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Dirisha jipya

English

New window

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

fungua dirisha jipya

English

Open a New Window

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

Dirisha lenye madhari inayoelekea Sucre.

English

Window with a view towards Sucre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kuna dirisha dogo ambalo limewekewa safu tatu za nondo.

English

There is a small window, covered with three sets of bars.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Podikasti: sikiliza katika dirisha jingine _BAR_ Pakua

English

Subscribe: iTunes _BAR_ Android _BAR_ RSS

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwanablogu wa Yemeni, Abdulkader Alguneid amkuta bundi nje ya dirisha lake:

English

Yemeni blogger Abdulkader Alguneid finds an owl outside his window:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Bahati haikuwa yake, kwa sababu alipokaribia dirisha la upande ambapo msichana alikuwa amekaa, matatu ikaondoka kwa kasi.

English

Luck was not on his side, since as soon as he got to the window next to where she sat, the matatu sped off.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Pistorius anasema alidhani Reeva Steenkamp alikuwa ni kibaka aliyekuwa kaingia kwake kwa kuvunja nyumba kupitia dirisha la bafuni.

English

Pistorius says he thought Reeva Steenkamp was an intruder trying to break into the house through the bathroom window.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Dirisha la gari la Besigye lilivunjwa kwa vitako vya bunduki na bomu la machozi pamoja na upupu wa pilipili vilipeperushwa kwenye gari kabla ya Besigye kutupwa kwenye gari la polisi.

English

Besigye’s car windows were smashed with gun butts and teargas and pepper spray were sprayed in the car before her was thrown on a police truck.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Katika makutano na polisi wa Marrakech, mwanafunzi mwingine wa chuo kikuu, Abdelkebir El Bahi, alijikuta akitupwa kutoka orofa ya tatu kupitia dirisha la bweni.

English

In his encounter with the Marrakech police, another university student, Abdelkebir El Bahi, found himself thrown from the 3rd floor window of a dorm.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Washiriki wa programu za Dirisha wanapitia uzoefu ambao unatetea mabadiliko katika mgogoro kati ya jamii hizo mbili, kuelekea kwenye ukweli wa amani ambamo kila upande wanaweza kuishi.

English

Participants in Windows programs go through experiences that promote conflict transformation among both peoples, towards a peaceful reality with which both sides can live.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mradi mwingine ni Dirisha la Amani, ambao ulianza tangu mwaka 1991 kama jitihada za kutengeneza jarida la lugha na tamaduni mbili kwa ajili ya vijana kama njia ya kuwawezesha kuungana na kujifunza juu ya mgogoro, kutangaza usawa na kuwawezesha vijana.

English

Another initiative is the Windows for Peace project, which started back in 1991 as an effort to produce a bilingual and bicultural magazine for youth as a way for them to connect and learn about the conflict, promote equality and empower youth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Blogu bora ya Burudani - AmeyawDebrah.com Blogu Bora ya Uanaharakati - Adventures from the Bedrooms of African Women Blogu Bora ya Uandishi wa Habariza Kiraia - Circumspect Blogu Bora ya Masuala ya kimaisha - Ganyobinaa.com Blogu Bora ya Ubunifu, Fasisi, Hadithi Fupi, Ushairi - Ganyobinaa.com Blogu Bora ya Picha - Dirisha la Ghana na Afrika – Nana Kofi Acquah Tuzo ya Mtu Maarufu anayeonekana zaidi kwenye Mitandao ya Kijamii - @mutomboDaPoet Tuzo ya Maudhui Bora Halisi - Kodjo Deynoo Poetry Blogu Bora- Adventures from the Bedrooms of African Women Tuzo ya Heshima kwa Kuwa Mfano wa Harakati Bora za Kiraia Mtandaoni - Ghana Decides

English

Best Showbiz and Entertainment Blog - AmeyawDebrah.com Best Activist Blog - Adventures from the Bedrooms of African Women Best Citizen Journalism Blog - Circumspect Best Lifestyle Blog - Ganyobinaa.com Best Creative, Literary, Short Stories, Poetry Blog - Ganyobinaa.com Best Photo Blog - A window to Ghana and Africa – Nana Kofi Acquah Award for Personality with the Best Social Media Presence - @mutomboDaPoet Best Original Content goes - Kodjo Deynoo Poetry Best Blog - Adventures from the Bedrooms of African Women Honorary Award for Exemplary Social Media Activism - Ghana Decides

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa hiyo, Dirisha (la Amani) linatilia makini kurutubisha mabadiliko makubwa katika namna ambayo vijana wa kiyahudi na Kipalestina wanavyojiona wenyewe, “wengine” pamoja na mgogoro.

English

Windows is therefore dedicated to fostering large scale change in the way Israeli and Palestinian youth see themselves, "the other" and the conflict.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK