Results for dokumentari translation from Swahili to English

Swahili

Translate

dokumentari

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ajentina: dokumentari kuhusu wenyeji wa mjini yatafuta tafsiri ya maandishi

English

argentina: documentary on urban natives looking for subtitles · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati akipiga picha za dokumentari nchini cambodia, mtayarishaji wa filamu roberto serrini alipata wasaa wa kutembelea vijiji kadhaa vya mjini na vijijini katika nchi hiyo.

English

while shooting a documentary in cambodia, filmmaker roberto serrini found time to visit several urban and rural villages in the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dokumentari hii inasaili safari ya ubunifu ya ama ata aidoo ya miongo saba kuanzia enzi za ghana inayotawaliwa na wakoloni, kupitia nyakati za uhuru, mpaka afrika ya leo ambako ubunifu wa vipaji vya wanawake hauonekani kiwepesi.

English

this feature-length documentary charts ama ata aidoo's creative journey in a life that spans 7 decades from colonial ghana, through the tumultuous era of independence, to a more sober present day africa where nurturing women's creative talent remains as hard as ever.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ungana na tamasha la kwanza la web africa festival kwenye moja wapo ya makundi yafuatayo ya ushindani: dokumentari, utalii, masimulizi, burudani, elimu na matangazo.

English

join the first web africa festival in one of the six competition categories: documentary, tourism, fiction, entertainment, education, advertising and tourism.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dokumentari iitwayo runa kuti iliyoshirikishwa katika mradi wa haki miliki wa “creative commons” kuhusu kutambuliwa kwa wananchi waliotokana na uzao wa wenyeji wa zamani walioishi mjini katika jiji la buenos aires, inatafuta watu wa kujitolea kusaidia kuiwekea video hiyo tafsiri ya maandishi kwenda katika lugha za asili za ajentina kama ki-quechua, ki-aymara, -kimapuche na ki-guaraní pamoja na ki-kiingereza.

English

the previously featured creative commons documentary runa kuti on the identity of urban dwelling indigenous descendants in the city of buenos aires is looking for volunteers to help them subtitle the documentary into indigenous languages found in argentina such quechua, aymara, mapuche and guaraní as well as into english.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,919,576,991 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK