Ask Google

Results for dumu la rangi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

dumu la maji

English

jerycan

Last Update: 2020-06-05
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

dumu la dispenser

English

water reservoir

Last Update: 2020-03-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wakamvua nguo zake, wakamvika joho la rangi nyekundu.

English

And they stripped him, and put on him a scarlet robe.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani.

English

And they clothed him with purple, and platted a crown of thorns, and put it about his head,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.

English

And the soldiers platted a crown of thorns, and put it on his head, and they put on him a purple robe,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Lakini hata baada ya kurejeshewa uhuru wake, aliendelea kuvaa shati la rangi ya bluu la wafungwa akiwakumbuka na kuwaunga mkono wafungwa wengine wa kisiasa.

English

But despite regaining his freedom, he continued to wear a blue prison shirt in solidarity with other political prisoners.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Basi, Yesu akatoka nje amevaa taji ya miiba na joho la rangi ya zambarau. Pilato akawaambia, "Tazameni! Mtu mwenyewe ni huyo."

English

Then came Jesus forth, wearing the crown of thorns, and the purple robe. And Pilate saith unto them, Behold the man!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Mwanamke huyo alikuwa amevaa vazi la rangi ya zambarau na nyekundu; alikuwa amejipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu. Mkononi mwake alishika kikombe cha dhahabu ambacho kilikuwa kimejaa machukizo na mambo machafu yanayoonyesha uzinzi wake.

English

And the woman was arrayed in purple and scarlet colour, and decked with gold and precious stones and pearls, having a golden cup in her hand full of abominations and filthiness of her fornication:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kitu nilichokipenda kwa wamarekani ni kuwa hawakulipa kipaumbele suala la rangi katika kupiga kura, wengi wa watu weupe walimpigia kura Obama ambae ana nasaba ya Kiafrika, kwa sababu hawaamini katika rangi au dini lakini kanuni za nchi na watu wake… kwa mara nyingine tena Mabrook :)

English

What I like the most about Americans is that they didn't put " race" on top priorities while voting, the majority of white people had elected Obama who is an African descent, because they don't believe in colors or religions but principles towards the country and its people... Once again Mabrook :)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK