Results for fundi mitambo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

fundi nguo

English

craftsman

Last Update: 2020-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

fundi cherehani

English

tailor

Last Update: 2021-08-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

fundi wa chuma

English

metalworker

Last Update: 2021-10-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

fundi simu ya mkono

English

the telephone technician

Last Update: 2020-02-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

fundi mjenzi wa nyumba

English

a craftsman

Last Update: 2019-09-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunamwaminia kabisa fundi sanifu mwenye nyumba wetu.

English

our landlord-architect has our complete trust.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mitambo yetu yote tunayouza iko kwenye kiunga hicho ninachokutumia

English

al our plants that we sell are on that link that i send you

Last Update: 2021-11-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kenya: video ya fundi baiskeli na vifaa vya kienyeji

English

kenya: video of bicycle repair man with home made tools · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wiki hii pia ni mwanzo wa maandamano ya wiki mbili katika maeneo yote ya india kwa ushirikiano na watu wenye kupinga matumizi ya mitambo ya nyuklia.

English

this week also marks a call for a fortnight of protests across india in solidarity with people’s struggle against the nuclear plant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

“watu wa koodankulam wamekuwa wakipinga mitambo ya nyuklia kwa ustadi mkubwa uliojengwa katika makazi yao na kusababisha uonevu kwa miezi kadhaa sasa.

English

“the people of koodankulam have been bravely fighting against the nuclear power plant which has come up in their homes and hearths for months now.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

xavieramma anasema, “tupo hapa ili ulimwengu usiendelee zaidi kuona mitambo ya nyuklia iliyo hatari na isiyokuwa na manufaa….

English

xavieramma said, “we are here so that the world will not see any more nuclear power plants that are dangerous and uneconomic...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadae alijiunga na elimu ya sekondari ambapo ni mara chache sana alipata muda wa kufanya biashara yake ya mkaa, hivyo alilazimika kuwa fundi viatu, alikuwa akirekebisha viatu vya watoto shuleni.

English

then later he joined secondary school and could barely afford time to do his charcoal business so he became a cobbler, he used to repair shoes of kids at school.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

badala ya serikali kusikiliza matakwa yao na kuzingatia suala la kutokuwa na hali nzuri ya ulinzi pamoja na madhara ya uharibifu wa mazingira unaotokana na mitambo hii ya nyuklia. serikali imewajibu waandamanaji kwa kutumia njia ya ukandamizaji wa kikatili kabisa.

English

the government instead of responding to their just demands and concerns for the immense security risk and the environmental hazard that this plant can cause on the surrounding area, has responded with the most cruel repression on the protesting masses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sauti za vinubi za muziki, sauti za wapiga filimbi na tarumbeta hazitasikika tena ndani yako. hakuna fundi wa namna yoyote ile atakayepatikana tena ndani yako; wala sauti ya jiwe la kusagia haitasikika tena ndani yako.

English

and the voice of harpers, and musicians, and of pipers, and trumpeters, shall be heard no more at all in thee; and no craftsman, of whatsoever craft he be, shall be found any more in thee; and the sound of a millstone shall be heard no more at all in thee;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lengo kuu la barua hii ni kuomba udhamini wa mafunzo ya kitaalam ( risk assesment training) kwa wahandisi 10 wa mitambo ya mawasiliano,uongozaji na ufuatiliaji wa mwenendo wa ndege hapa nchini mafunzo haya yatawajengea uwezo wahandisi kufanya assemesment mbalimblai katika kazi za kiuhansidi kama kusudio la icao linavyosema katika sekta ya anga

English

this special request is brought to you based on the best relations between the two countries in tanzania and the united kingdom, so it is my hope that this request will be dealt with and to get a positive result.

Last Update: 2019-09-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK