Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mkutano wa hadhara
rally
Last Update: 2023-03-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mwaka huu peke yake, wanablogu watatu waliuawa mbele ya hadhara.
this year alone, three bloggers have been assassinated in public.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
waandamanaji wanaoipinga serikali wakiwa wamekusanyika katika mkutano wa hadhara kumwuunga mkono mfalme bhumibol adulyadej.
anti-government protesters gather at a rally showing their loyalty to king bhumibol adulyadej.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ni nani mbaye alitoa amri ili kuzuia mkutano wa hadhara wa kidemokrasia kutofikia nyumba ya waziri mkuu?
who gave the order to stop a democratic rally from reaching the home of the prime minister?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.
but when his brethren were gone up, then went he also up unto the feast, not openly, but as it were in secret.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tofauti na hatua za awali, vidhibiti hivi viliweza kutekelezwa na polisi kupitia utoaji wa faini na kutawanywa kwa hadhara.
unlike previous measures, these restrictions were enforceable by police through the issuing of fines and the dispersal of gatherings.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu wapatao 25 walipigwa risasi na kuuwawa leo katika mji mkuu wa madagaska, antananarivo, wakati wa maandamano ya kuelekea ikulu ya nchi hiyo yaliyoitishwa na meya wa jiji andry rajoelina baada ya kujitangaza kama kiongozi wa serikali mpya ya mpito katika mkutano wa hadhara wa kisiasa.
at least 25 people were shot dead today in madagascar's capital antananarivo during a march to the presidential palace called by the city's mayor andry rajoelina after he declared himself the leader of a new transitional government at a political rally.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
polisi pia walikamata vipaza sauti katika mkutano wa hadhara wa tarehe 19 machi, 2011, kwenye mji wa rifisque, karibu na dakar, bila kujali ukweli wa kwamba kundi hilo lilipewa kibali rasmi cha kufanya tukio lile.
the police also seized loudspeakers seized at a rally on 19 march, 2011, in the city of rufisque, close to dakar, despite the fact that the group had been granted official permission to hold the event.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati kundi la wenyeji wa kaskazini mwa uganda, ambao waliathiriwa zaidi na uhalifu wake kony, walionyeshwa video ya invisible children katika onyesho la hadhara, hawakupendezwa na waliyoona katika video hilo, kama inavyoonekana katika video ya al jazeera english ifuatayo.
when a group of north ugandans, the main victims of kony's crimes, were showed the invisible children's video in a public screening, they were not particularly pleased with the content of the video as is seen in an al jazeera english video below.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
15) taarifa za matukio ya hadhara (mikutano, maandamano, matembezi, migomo, mikutano) iliyoandaliwa na kufanywa na shirika, pamoja na matukio ya umma ambayo shirika limejihusisha nayo.
15) information on mass public events (rallies, demonstrations, marches, pickets, meetings) organized and conducted by the organization, as well as mass events that the organization has taken part in.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: