Ask Google

Results for hairuhusi kuiga translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na vigezo vya kuiga vinatokana na kile nchi inachopenda au itokane na udhaifu wake.

English

and criteria for copying are based on what country likes or based on his weakness.

Last Update: 2013-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwani kuiga mfumo hakuleti uhakika wa maendeleo, na hakuna kuiga hisia

English

because copying the system does not guarantee development, and there is no copying in feelings

Last Update: 2013-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hali yoyote ile, kutaka kuiga nchi fulani ni kitendawili kisicho na jibu

English

in any case, trying to copy from a particular country is a riddle with wrong answer

Last Update: 2013-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Saudia Arabia: Ambako Kuiga Kazi Kinyume cha Haki Miliki ni Kosa la Jinai

English

Saudi Arabia: Where Plagiarism is a Crime · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Ni wakati sasa kwa mataifa hayo kuiga kwetu kwa sababu hilo ni jambo lenye maana kulifanya.

English

Let those nations copy from us because it is the most sensible thing to do

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kiasi cha watu 70,000 walihudhuria matembezi ya fahari ya mashoga na wasagaji nchini Taiwani mnamo Oktoba 25 katika kusherehekea tofauti za hisia za kimapenzi na utambulisho wa kijinsia na kuuhamasisha umma kuiga mfano huo.

English

About 70,000 people attended Taiwan's LGBT pride parade on October 25 to celebrate the diversity of sexual orientation and gender identity and encourage the public to do the same.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Blogu ya Cuba Without Evasion yatanabaisha kuwa, namna pekee ya kumuenzi Nelson Mandela ni kwa "kuiga mfano wake wa kusamehe na Usuluhishi":

English

Cuban blog Without Evasion says the best way in which she can pay tribute to Nelson Mandela is by "imitating him in forgiveness and reconciliation":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Maktaba za umma zaweza kujifunza katika uhuru huu wa kubadilishana taratibu za ubunifu zilizofanywa ndani ya jamii wanazozihudumia, na hii inaweza kuwawezesha kwenye huduma za habari za mitaa, zilizoundwa kwa ushirikiano, zilizo shirikishwa, zilizoonekana na kupatikana kwa kila mtu ili maktaba nyingine, mashirika, vikundi vya utafiti na watu binafsi waweze kuwa na uwezo wa kuiga hayo, kuziboresha na kukabiliana nazo kwa mahitaji yao wenyewe na vifaa muhimu, hivyo kwa wakati wanaweza kutoa ule uzoefu wa awali na kutoa vyanzo mbalimbali kwa yale wamejifunza.

English

Public libraries can learn from these liberties to share the creative processes carried out within the communities they serve, and this can empower local information service, co-created, shared, noticed and available to everybody so other libraries, organizations, study groups and individuals may be able to replicate them, improve them and adapt them to their own needs and necessities, so in tiime they can give back those experiences to the original node and diversify what they have learned.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Mafanikio ya huduma ya twitter (twita)yameweza kuleta mvuto mkubwa katika tovuti nyingi za habari,zinazotaka kuiga kanuni hii:taarifa fupi fupi, kutoka katika kila aina ya zana, kwa ajili ya kadamnasi fulani teule.Tovuti moja ambayo inafuata mfano huu ni Reporting on, aina ya Twita kwa wanahabari,ambayo umekuwa ikifanya kazi katika majaribio tangu mwaka jana.

English

The success of Twitter has had an enormous influence on many new sites, that want to copy the formula: short messages, from all kinds of devices, for a restricted audience. One of the sites that follows this example is Reporting On, a kind of Twitter for journalists, that has been in working in beta phase since last year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa kuiga chapa ya Malaysia1, serikali ya Jimbo la Terengganu hivi majuzi ilikuja na sera ya ‘msala 1’ kama hatua kwa walimu na wanafunzi (wa jinsia moja) kuchangia misala (vyoo) ili kukuza hisia za umoja.

English

Borrowing the branding of 1Malaysia, the state government of Terengganu recently introduces the '1Toilet' policy as a move for both teachers and students (of the same gender) to share toilets to promote a sense of oneness.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa hakika, wapinzani wa mapinduzi ya kijeshi hivi majuzi nchini Thailand, yaliyoiong'oa madarakani serikali iliyokuwa imechaguliwa kidemokrasia iliyokuwa ikiongozwa na Yingluck Shinawatra, na waliweza kuiga alama ya vidole maarufu ya vitatu inayoonekana kwenye filamu hiyo.

English

Indeed, opponents of Thailand's recent coup, which displaced the democratically-elected government of Yingluck Shinawatra, have even adopted the movie's famous three-finger salute.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK